Rais Samia: Ulaya na Marekani hawafanyi vizuri kiuchumi kama sisi

Eti tusitishike shilingi yetu ni imara kuliko dola ya Marekani, Eti uchumi wetu unafanya vizuri kuliko wa Marekani na Ulaya, Eti miradi yote inatekelezwa kwa pesa za ndani, Eti deni la Mama (la Taifa) ni himilivu tunakopesheka, Eti... Eti...,

Mnamdanganya nani kwa faida ya nani, Rais, Wananchi au Matumbo yenu.

Lakini binafsi huwa najiuliza sipati jibu, kwani tuseme yeye hana akili hata ile ndogo tu ya kungundua kuwa hili sio kweli nadanganywa.
 
HUjamalizia mkuu akasema hapa inabid watu wa mkoa ule wajikaze kulipa Kodi .
Hahahaha
 
Yaani Leo tuwe imara kuzidi marekani na ulaya, wale watu watatu wanatakiwa wapimwe uzima wa akili zao. Tusije tukawa hukumu kumbe akili zao zimeyumba kidogo
 
Sasa unapokuwa kilaza na ukakubali kupokea ushauri kutoka kwa vilaza (PHD fake) ndo madhala yake hayo.
 
Na yeye kwa nini akubali kudanyanyika, kwamba hajui kulinganisha nchi ya marekani na Tanzania kiuchumi ni sawa na mbigu na ardhi.
 
Kuhusu kuwa au kutokuwa na akili yeye mwenyewe aliisha lizungumzia hilo kitambo sana.
 
Kwanza hakuna nchi ya Ulaya ambayo Tanzania inaizidi PPP, Per Capita

Hata Ukraine aliye vitani anatushinda kila kitu kuanzia viwanda hadi hospital
 
Nendeni shule, uchumi wa tanzania unakua kwa kiwango kikubwa kuliko marekani na ulaya,siyo uchumi wa tz mkubwa kuliko marekani na ulaya,pia shilingi ya tz rate ya uimarikaji ni mkubwa kuliko currency zingine,hata rubble ya Russia ni sarafu inayofanya vizuri zaidi kwa sasa kuliko dola na sarafu zingine
 
Watu wa Simiyu mmesikia? 😹😹
Ila wasukuma wanadharaulika sana na kuonekana washamba mpk wanadanganywa mchana kweupe..!!

Wazee wa kupanda fisi kula chuma hicho..!! 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…