Rais Samia: Ulaya na Marekani hawafanyi vizuri kiuchumi kama sisi

Ukitegemea msaada wale wanaotoa msaada dunia yote sasa ipo juu chini. Mavita, maugomvi, mavurugu, chumi zimeshuka, huko hawafanyi vizuri kama tunavyofanya sisi.

Ulaya na Marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi huku, hata ndani ya kanda yetu hii ya Afrika Mashariki, Tanzania tunafanya vizuri” Rais Samia akizungumza na wananchi wa Simiyu akiwa katika ziara yake ya kikazi mkoani humo.

Chanzo:Crowntvtz​
 
Tuombe Mungu wakenya wasisikie hii
 
Samia azuiwe kutumia pombe kabla ya kutoa hotuba au tamko lolote kuhusiana na mustakabali wa nchi, mental health is real.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…