Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Kwanza ulidanganywa na kaka zako, pili ukadanganywa na para maji, ukaingia kingi kutuonesha umwamba wako.
Sasa yamefika shingoni, kwa taarifa yako makusanyo ya mwezi huu huko TRA yatashuka kwa zaidi ya 20% utaambiwa na wawekezaji kuwa gharama za uzalishaji kwa mwezi huu zilikuwa juu kutokana na ukosefu wa umeme.
Pole sana, tuliokupenda ukatuona tunawania kiti, haya kaa Sasa hapo, umeanza kuchokwa mpaka na wazee.
Mimi nipo palee nakuka mihogo na engineer Hersi.