Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
NdiyoUnadhani mwinuka angekuwepo ndio umeme usingekatika
Wewe ni brahbrah tu unaongea ! Mfumo bila watu wa kuusimamia ni kujilisha upepo! Ni sawa na kuwa na katiba bila watu makini! Ulishawahi kujiuliza CHADEMA pamoja na kujidai wana demokrasia lakini Mwenyekiti wao anamika takribani 15 ni yule yule!Hii nchi sasa inaleta mkanganyiko! Yaani aliyetumbuliwa, anapigiwa debe kurudishwa!
Na shida kubwa hapa, ni ile ya kumpa mtu mmoja mamlaka makubwa ya kufanya maamuzi katika uteuzi! Badala ya kuweka mifumo imara ya kuwasimamia hao watumishi wa umma, kutimiza majukumu yao.
WaliomtumaWazee gani waliomchoka bi tozo?
Kwa hiyo hao watu wa kuusimamia buo mfumo watashushwa kutoka Sayari ya Mars! Kwani shida iko wapi kujenga hiyo mifumo imara ya kiungozi?Wewe ni brahbrah tu unaongea ! Mfumo bila watu wa kuusimamia ni kujilisha upepo! Ni sawa na kuwa na katiba bila watu makini! Ulishawahi kujiuliza CHADEMA pamoja na kujidai wana demokrasia lakini Mwenyekiti wao anamika takribani 15 ni yule yule!
Acha ujinga dogo,Ndiyo
Majangili yote yapo kaziniKwanza ulidanganywa na kaka zako, pili ukadanganywa na para maji, ukaingia kingi kutuonesha umwamba wako.
Sasa yamefika shingoni, kwa taarifa yako makusanyo ya mwezi huu huko TRA yatashuka kwa zaidi ya 20% utaambiwa na wawekezaji kuwa gharama za uzalishaji kwa mwezi huu zilikuwa juu kutokana na ukosefu wa umeme.
Pole sana, tuliokupenda ukatuona tunawania kiti, haya kaa Sasa hapo, umeanza kuchokwa mpaka na wazee.
Mimi nipo palee nakuka mihogo na engineer Hersi.
Mifumo inara inahitai watu Imara piaHii nchi sasa inaleta mkanganyiko! Yaani aliyetumbuliwa, anapigiwa debe kurudishwa!
Na shida kubwa hapa, ni ile ya kumpa mtu mmoja mamlaka makubwa ya kufanya maamuzi katika uteuzi! Badala ya kuweka mifumo imara ya kuwasimamia hao watumishi wa umma, kutimiza majukumu yao.