butron JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,640 Reaction score 7,943 Nov 24, 2022 #21 Nazir Karamagi amerejea kwa kofia ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kagera!
Rusumo one JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 3,458 Reaction score 4,283 Nov 24, 2022 #22 Makusanyo ni kwenye makaratasi tu uhalisia ni kuwa hakuna pesa wakuu TRA, H/W kupitia POS revenue collectors pamoja na Wahasibu mapato wanapiga mishe tu
Makusanyo ni kwenye makaratasi tu uhalisia ni kuwa hakuna pesa wakuu TRA, H/W kupitia POS revenue collectors pamoja na Wahasibu mapato wanapiga mishe tu
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,266 Reaction score 8,085 Nov 24, 2022 #23 La Pronto said: Unadhani mwinuka angekuwepo ndio umeme usingekatika Click to expand... hali isingekuwa kama ilivyo baada ya makamba kuingia na muuza ving'amuzi kupewa kuiongoza tanesco
La Pronto said: Unadhani mwinuka angekuwepo ndio umeme usingekatika Click to expand... hali isingekuwa kama ilivyo baada ya makamba kuingia na muuza ving'amuzi kupewa kuiongoza tanesco
Bepari2020 JF-Expert Member Joined Nov 7, 2020 Posts 2,072 Reaction score 2,453 Nov 24, 2022 #24 Haya yote ni matunda ya mfumo mbovu alioujenga Nyerere
Boss la DP World JF-Expert Member Joined Dec 12, 2021 Posts 2,318 Reaction score 8,464 Nov 24, 2022 Thread starter #25 jiwe angavu said: Usimlaumu sa100 yeye mwenyewe mgaso gang wamemkali kooni hana ujanja. #MaendeleoHayanaChama Click to expand... Tatizo anaogopa kufa
jiwe angavu said: Usimlaumu sa100 yeye mwenyewe mgaso gang wamemkali kooni hana ujanja. #MaendeleoHayanaChama Click to expand... Tatizo anaogopa kufa