Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Ndiyo Ukweli WenyeweMama ametuangusha sana kwakweli.. Sikutegemea hiki kinachoendelea.
Alitaka YeyeMlimuomba au alitaka yeye ?
Mbona nmeandika kiswahili chepesi sana. Nacho umeshindwa kukielewa?Mlimuomba au alitaka yeye?
Kama wewe dada yangu. Maana yake kwa kabila letu ni kahaba.your name is reflected you
Tangia lini Babu kama Wewe ukawa Kijana?Binafsi nlijiandaa sana kuja kuongea na Mh. Rais nimweleze changamoto na masuluhisho kadhaa kwa baadhi ya changamoto tulizo nazo vijana mitaani.
Achana na mawaziri hawa wahajui changamoto zetu sababu hawajavaa viatu vyetu. Mimi sikuja na chama chochote. Nlikuja na hoja na naona ntaondoka nazo kama nlivyokuja nazo.
Nliamini tunakuja zungumza na Rais wetu. Kumbe tunakuja elezewa mambo kadhaa na watu kadhaa
Alijua sana yale mliyotaka kuongea that's why hakuona sababu ya kutembeza mic kwa vijana wote 50.Nilitegemea mic itembee kwa hadhira hiyo. walau vijana 50, Waseme.
Then tupate sample studies za vijana waongee hapo juu.
Wapendekeze solutions.
Etc etc etc.
Disappointed.
Umri wa ujana unaishia miaa mingapi? Kama Umri wangu ni mkubwa but matendo,akili na viungo vyangu vipo intact kabisa.Tangia lini Babu kama Wewe ukawa Kijana?
Nilivyoona tu anaenda kukutana na vijana kwemye uwanja wa michezo wa nyamagana nikajua hapa hamna kituBinafsi nlijiandaa sana kuja kuongea na Mh. Rais nimweleze changamoto na masuluhisho kadhaa kwa baadhi ya changamoto tulizo nazo vijana mitaani.
Achana na mawaziri hawa wahajui changamoto zetu sababu hawajavaa viatu vyetu. Mimi sikuja na chama chochote. Nlikuja na hoja na naona ntaondoka nazo kama nlivyokuja nazo.
Nliamini tunakuja zungumza na Rais wetu. Kumbe tunakuja elezewa mambo kadhaa na watu kadhaa