Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Excellent views.Mambo yaliharibika pale tulipoigawanya Tanzania kuwa ya vyama vya siasa na CCM kujimilikisha nchi hii.Ukisikia Rais anataka kuongea na wazee wa Dar,wanaenda wanaccm,ukisikia ataongea na kinamama wa Tanzania wanaenda UWT,vijana nao wakiitwa utawakuta UVCCM wamejazana nasi tunaridhika,ilhali huo ni ubaguzi wa wazi wazi na wakienda hushangilia na kuchezeshwa singeli badala ya kujenga hoja za kitaifa. Unakuta tunanadiwa Ilani ya Uchaguzi ya chama nasi tumeridhika.Shame on us!
Kila Mara sisi tunaodai agenda za kitaifa kama Katiba,Tume huru ya Uchaguzi, Mahakama huru na Bunge huru tunaambiwa ni wapinzani,mawakala wa mabeberu Ama wapiga dili nasi tunakubali/tunalazimishwa kukubaliana na CCM & Serikali yake.
Nchi hii bila Katiba ya sasa(ya CCM 1977) kubadilika na kujitengenezea Katiba yenye kutupatia dira,Sera na agenda za kitaifa basi tufahamu kuwa kusonga mbele ni ngumu sana.Watu wenye mawazo ya kibinafsi kama CCM hawawezi kututoa kwenye mkwamo huu walioutengeneza kwa miaka nenda rudi tokea Uhuru hadi sasa,tusitegemee maendeleo ya watu.Shame on us.
Eti Katiba siyo kipaumbele Chao?!

Huna akili wewe.Hivi wewe unaakili kweli? Kama kila mtu aliyekuwepo pale amgetaka kuongea na Rais wangetumia siku ngapi kukamilisha ndio maana kukawekwa wawakilishi wetu. Kwa akili hizi ndio maana hatujielewi tunataka nini.
Hawa ndio vijana wa CCM.Ungetumia tu kiswahili umeandika pumba.
Ushafanywa jina lako nadhani.akili haipo sawa.Toka lini chizi akawa na maarifa?
Ujima na usanii si aliondoka nao dhalimu wako na sasa tuko vizuri au?
Haya mambo ya kiongozi mkuu kuongea na wananchi mara nyingi ni Public Relations na kupiga Kampeni. Mfumo mzuri na sustainable na wenye tija ni kero zote kupitia kwa wawakilishi ambao wapo kila ngazi, na sababu Rais ni Taasisi nina uhakika hata akitaka kujua kama bei ya nyanya imepanda pale barabara ya saba chini ya mwembe mkoani Tanga hashindwi.
Hivyo basi nguvu nyingi itumike kwenye kurekebisha kero (sio kujifanya tunasikiliza kero ambazo nina uhakika hata miaka 15 iliyopita zilikuwa ni hizi hizi tu)
Wanapenda sana kutumia hayo makundi ya wazee, wanawake, vijana nk kupaka rangi upepo.Binafsi nilijiandaa sana kuja kuongea na Mh. Rais nimweleze changamoto na masuluhisho kadhaa kwa baadhi ya changamoto tulizo nazo vijana mitaani.
Achana na mawaziri hawajui changamoto zetu sababu hawajavaa viatu vyetu. Mimi sikuja na chama chochote. Nilikuja na hoja na naona ntaondoka nazo kama nilivyokuja nazo.
Niliamini tunakuja zungumza na Rais wetu. Kumbe tunakuja elezewa mambo kadhaa na watu kadhaa
Vipi ulipata T-shirt?Binafsi nilijiandaa sana kuja kuongea na Mh. Rais nimweleze changamoto na masuluhisho kadhaa kwa baadhi ya changamoto tulizo nazo vijana mitaani.