Rais Samia umakini unahitajika kufuatilia utendaji wa Serikali yako na Taasisi zake, ujue wewe ni daktari sasa. Ona hili la HESLB

Nikimkuta pepon. Afsa wa bodi ya mikopo bas nageuza
Kwa kweli wanakera. Hivi sheria ya kusubiri siku 90 na kuomba kielectronik ilipitishwa na bunge enzi za Ndugai au ni wao wenyewe waliamua tu. Prof. Mkenda na. Rais Samia wanajua kinachoendelea na wanajua wanaosubiri kurudishiwa pesa hizi ni wanufaika wangapi na ni kiasi gani. Na wameshalipa kiasi gani kwa watu wangapi? Hakuna Mbunge wa kutuulizia swahi hili. Kweli nimewamiss wabunge makini wa Chadema.
 
Madhara ya kujaza makada na ndugu kwenye taasisi nyeti ndio hayo
 
Hii kali. Jamaa yangu alikatwa hivyohivyo akaomba refund online, kaweka attachments, ndani ya siku 40 kawa karudishiwa kwenye akaunti yake aliyoambatisha wakati anaomba refund online.

Ila twende mbele turudi nyumba ... unataka turudi kwenye kuandikiana hundi leo? Dah hii sio kabisa. Dunia imebadilika sana, nadhani hoja iwe kuboresha kulipwa mpunga maisha yaendelee. Hii ya hundi/cheque sio kabisa

Kingine, tutakua tunamuonea Mama kwa kumtwisha kila kitu hata refund ....kuna mambo makubwa, hizi za refund ya hela ya weekend hapana. Tukomae nao HESLB hadi kieleweke ...
 
Wala huyo PM hapambani na chochote, ni maigizo na fenti fodi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…