Rais Samia umeanza kutuangusha kabla ya siku 100 za uongozi wako

Nyie MATAGA acheni Mama afanye kazi aliyoshindwa mtangulizi wake na uchumi ukaporomoka!
 
Nimesema Tanzania ina Mabilionea wengi kuliko Kenya (Dollar Millionaires wengi), Kwa nini hawa tusiwasisitize.

Unatakiwa uwe na mtaji wa zaidi ya TSH Billioni 500 ndio uhesabiwe wewe ni Mwekezaji mkubwa wa Madini
Kwahiyo waliowekeza Tanzania kwenye madini wote ni wamiliki wa us dollar 500 million

Hebu acha utoto basi kulinganisha utajiri na mtaji

Elimu yako ina shida kubwa
 
Maza ni Mzanzibar hata akisikia una hekari 2 anaona una ardhi kubwa mno maana kule na viraka hawana ardhi
 
Wafia Jiwe mtateseka sana mfuateni kaburini

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Umetoa angalizo zuri, si la kupuuzwa
 
Mall karibu zote zimefungwa
 
1. Moja Wakenya hawana uwezo kuliko Watanzania kuwekeza kwenye miradi mikubwa kuliko Tanzania, hoja ni takwimu za Dollar millionares ni Wengi Tanzania kuliko Kenya, Hawajaenda Kenya sababu Tanzania na SADC kuna Soko ni sehemu nzuri kuliko Kuelekea Juu ya Tanzania.

Hapa mama anawaita wakenya kuja kufanya kazi za umachinga na mama ntilie, anatujazia mizigo

Kuhusu Ardhi, Ardhi ndio msingi wa Uhuru na Kielelezo cha Taifa, Kama watu wachache wanamiliki Ardhi maana yake wanamiliki msingi wa uchumi wa Taifa, Sisi Ardhi yetu ni kwa ajili ya Watanzania Kwanza, Kwa nini utoe Ardhi yako kama bargain item?
 
KILA MTU SASA NI MWALIMU WA MAMA.....HAIWEZEKANI
 
Sielewi watu wanaomchukia mama hadi saiz wanatumia kigezo gani..mbona hotuba niliisikiliza na ilikua nzuri
 

Ndugu yangu hawa ni matajiri 20 Africa, Kenya hakuna Tanzania wapo
 
Hapa mama anawaita wakenya kuja kufanya kazi z
Watanzania ambao wanafanya kazi za kubangaiza nje ya tanzania mfano huo umachinga unawaathiri vipi watu wa nchi hizo ?
Kuhusu Ardhi, Ardhi ndio msingi wa Uhuru na Kielelezo cha Taifa, Kama watu wachache wanamiliki Ardhi maana yake wanamiliki msingi wa uchumi wa Taifa, Sisi Ardhi yetu ni kwa ajili ya Watanzania Kwanza, Kwa nini utoe Ardhi yako kama bargain item?
Bado hujanielewesha hawa wachache wanadhambi gani ya kuja kumiliki maeneo hapa tanzania kwa kufuata taratibu za hapa badala yake uwahusishe na hao wachache ?


Sisi Ardhi yetu ni kwa ajili ya Watanzania Kwanza, Kwa nini utoe Ardhi yako kama bargain item?
Bargain item inakuwaje ?
 


A recent wealth report by Knight Frank shows the tally of Tanzania’s super-rich stood at 5,668 at the end of 2019 compared to Kenya’s 2,942.

This includes 5,553 who are dollar millionaires - worth Sh100 million and above, another 114 billionaires, worth Sh3 billion and above and one that is worth over Sh100 billion.

Kenya has 2,900 dollar millionaires, 42 individuals worth $30 million and above and none in the category of dollar-billionaire, according to the 2020 Wealth Report by property management firm Knight Frank.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…