Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,332
- 31,306
Barrick walikopa Canada ila makampuni mengine wamekopa nchini. Au unataka nikutajie?Tuambie Barrick walikopa Benki gani ya humu nchini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barrick walikopa Canada ila makampuni mengine wamekopa nchini. Au unataka nikutajie?Tuambie Barrick walikopa Benki gani ya humu nchini?
Itabidi waende Zanzibar kule wenyewe hawalimi ukiacha kunywa gahawa vibarazani, wasitujazie huku Wakenya nao si wana ardhi yao? hatutaki tuwe manamba kwenye nchi yetu wenyewe.Nimesikiliza Hotuba ya mama huko Kenya naweza kusema.
Mama sio mzuri wa hoja nzito, ni mwepesi wa Ku Give In.
Anasema Wakenya waje Tanazania kuwekeza kwenye madini, Mkenya Gani anamtaji wa kuja kuwekeza kwenye Madini, Kama Mwekezaji mkubwa wa madini?
Mama anadanganywa na watu wake wa Karibu kwa udhaifu wake wa ndiyo ndiyo, Hivi ina maana mama hasomagi Takwimu za Dunia kuwa Tanzania kuna Mabilionea(USD Millionaires) wengi kuliko Kenya?
Mama anasema Tanzania ina ardhi Kubwa ana wakaribisha Wakenya, Je anajua uhaba wa Ardhi Kenya ni kwa sababu ya familia chache zenye nguvu kisiasa kuhodhi ardhi?
Mama anajua kuwa Wakenya zaidi ya asilimia 80 hawana ndoto wala hawataweza kabisa kujenga wala kumiliki Nyumba zao kipindi chote cha maisha yao?,
Mama anasahau hoja kuwa Tanzania ina watu wengi (Soko Kubwa), Huduma za Kijamii na mahitaji yote ya msingi kufanya biashara ni conducive Tanzania kuliko Kenya?
Mana anasahau au aliona aibu kusema mazingira mazuri yaliyopo kenya kwa wafanya biashara ni urahisi wao kutoa Rushwa kuliko Tanzania?
Mzee Mangula tunaomba Mlisisitize Bunge limchunge huyu Mama, na 2025 mfanye uchaguzi upya.
Mama anawachezea wakenya TuNimesikiliza Hotuba ya mama huko Kenya naweza kusema.

Kwani wamezuiliwa kuwekeza nchini mwao. Au hawazioni fursa za kuwekeza mpaka washikwe mkono kuoneshwa! Kama wapo si wawekeze Tanzania na Kenya pia milango mbona imefunguliwa? Kama huna mtaji wala mbinu za kupambana kaa pembeni subiri kuajiriwa na hao wawekezaaji watarajiwa kama utawaridhisha kuwa unauwezo wa kuwahudumia. La sivyo utabaki kulalamika wenzio wasonga mbele!Nimesema Tanzania ina Mabilionea wengi kuliko Kenya (Dollar Millionaires wengi), Kwa nini hawa tusiwasisitize.
Unatakiwa uwe na mtaji wa zaidi ya TSH Billioni 500 ndio uhesabiwe wewe ni Mwekezaji mkubwa wa Madini
Mateso gani ulipewa ww bwegePumbavu kabisa wewe,unajua Furaha aliyotupa Mama na Mateso tuliyopitia kwa miaka 5?Una chuki Binafsi Mama anavyopambana kuleta Uwekezaji unaleta Makundi yako ya Kikabila hapa?Kafie mbele huko **nge wewe na Gang yenu,sisi tuko na Mama hamtuambii kitu.
Uwekezaji kutoka nje ni mawazo ya kimaskini ! Unajua China na asian tigers zimesaidiwa kiasi gani na uwekezaji namna hii! Hivi hata unajua LNG plant mnayoizungumzia pia ni uwekezaji kutoka nje? Hivi ni kweli vichwa vyenu ni empty kiasi hiki au mnajitia tu hamnazo !?Hayo ni mawazo ya kimaskini mkuu. Please think out of the box. Ingekuwa hivyo hata nchi zilizoendelea zingefikiria hivyo lakini zinawafikiria kwanza wananchi wake kwanza.
Il![]()
VIDEO: Rostam aeleza ilivyo ngumu Mtanzania kuwekeza Kenya, atoa tahadhari
Mfanyabiashara Rostam Aziz amesema uwekezaji nchini Tanzania na Kenya haufanani akibainisha kuwa ni rahisi kuwekeza katika nchi moja na ngumu kwa nchi nyingine na kutaka suala hilo kufanyiwa kazi...www.mwananchi.co.tz
Rostam alitaka kuwekeza Kenya hadi sasa miaka 3 bado anazungushwa, Kenya wanabaguana kwa Ukabila alafu sisi tunawaita tu
Yaani kuwa watu wengine basi wana roho za kiwanga tu hata Mama anawajua hawa kasema huko. Mwekezaji aje sasa ajenge kiwanda mawinguni? kuna watu wanaendeshwa na chuki tu wakati kila nchi duniani inaita watu njooni kwetu muwekeze lakini kuna watu wanaongea utasema walienda kuomba ardhi kuwekeza wakaambia imeisha. Mama anajuwa kila na kasema kuna watu wanahodhi ardhi kubwa bila kuziendeleza na anakuja kulifanyia kazi. Hawa kina Mo walichukuwa mashamba makubwa hakuna wanachofanya. Pale Morogoro kuna watu wameshikilia ardhi tu hata viwanda wamejaa popo tu hata JPM alisema haya. Akija mchina kuwekeza akipewa ardhi watu kimya lakini jirani nongwa. Mwekezaji anakuja wekeza ardhi ni jukumu la serikali kumpa muhimu tija kwa nchi.Umeongea kwa Chuki sana hadi umeharibu mtiririko wako
Hivi unadhani hao wazungu mnaowakubalia kuwekeza sijui Barrick sijui Anglogold wanakujaga na mitaji? Kwa taarifa yako wanakujaga na vichwa vyao tu pesa wanaingia bank kukopa wakishapata mgodi