mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Kwanza huyu mleta uzi hajawahi kufanya na hajui biashara yoyote,yeye ni bora liendeMleta mada wewe ni mpuuzi usiyepaswa kusikilizwa! Nyie ni washamba mliompoteza Hayati Magufuli akajiona ana maarifa ya kuongoza Nchi kuliko watangulizi wake akiwemo hadi Mwl.Nyerere!
Mama anampoteza/anamfunika Magufuli asubuhi na mapema sababu ya kulewa sifa za wajinga wachache wasioona mbele! Watanzania sasa wamepata Rais anayejua Dunia inavyo operate.
Sisi " wasukuma" sasa tuache ushamba na kujimwambafy tutulie tuache watu wenye maarifa waongoze Tanzania.
Wivu na husuda kwa Mama Samia hakutatusaidia na chuki zetu.
"Wasukuma" tulipewa Nchi tukaongoza kwa jeuri,ukatili,majivuno na uchoyo! sasa tukae kimya na tujue itachukua miongo mingi sana kwa "_msukuma" mwingine kuongoza Tanzania, ukweli mchungu sana huo.
Hongera sana Mama Samia umeanza vizuri na uko juu sana!!!
Ova