Rais Samia umedanganywa Mbowe alitoroka nchi ukakubali au umeamua kuruhusu utetezi wako kukosolewa?

Mkuu mtu kushika dini na kuwa na hofu ya Mungu akiwa ccm we umeona wapi..?!!
 
Tena wakuu unaweza kuta kipindi Cha Kayafa yeye ndo alikuwa master minder wa makesi maana anapita mlemle.
 
"wapinzani walituchelewesha Sana kupata maendeleo ndugu zangu"RIP Kayafa
 
Na JAJI MKUU Anaomba MAGEREZA Yaongezwe WAPINZANI wajazwe

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Labda Maza anadanganywa...... Hivi kweli kama Mbowe alijua ana hiyo kesi halafu akaweza kutoka nje ya nchi.... Kwa akili ya kawaida tu kweli anvejirudisha. Kama Lema na Lissu wamesepa kwa ni yeye ishindikane. Kweli za kuwambiwa changanya na zako.
 
Inawezekana Sabaya alikuwa chambo wa kumhadaa Mbowe akajileta mwenyewe
 
Mama nimekuwa nakuunga mkono sana, ila ili la Mbowe, hatupo pamoja, linavunja heshima sana, hebu fikiri upya najuwa alikukera sana kuhusu mihamala, ila achana nae, najua pia suala la katiba halikupi shida!
 
🤐
 
Hiyo mikono mirefu mbona haijamkamata aliyejiunganishia bomba la mafuta hapa mjini?
Kwa kweli hasa wale jamaa wa Kigamboni,hatusikii kesi yao,au ilikuwa zuga,bado wanaendelea na kusomba mzigo.
 
"Hata msipotuchagua tutaunda serikali tu". SSH.
LET MBOWE FREE!!!
 
Hiyo mikono mirefu mbona haijamkamata aliyejiunganishia bomba la mafuta hapa mjini?
Kwa kweli hasa wale jamaa wa Kigamboni,hatusikii kesi yao,au ilikuwa zuga,bado wanaendelea na kusomba mzigo.
Ni deal ya viongozi ndio maana wako kimya.
Walitaka kuonyesha wanaibua madudu, kumbe ni janjajanja 2025 watatuleza tu kesi ya hao jamaa ilisikiliziwa mahakama ipi.
 
Nawaonea huruma. Yule mliemtegemea ndo hivyo tena kawatwanga nyundo ya utosi.

Mama anaupiga mwingi

Matanga muacheni Mama achape kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…