Rais Samia umedanganywa Mbowe alitoroka nchi ukakubali au umeamua kuruhusu utetezi wako kukosolewa?

Rais Samia umedanganywa Mbowe alitoroka nchi ukakubali au umeamua kuruhusu utetezi wako kukosolewa?

Sikuwahi kumdhania mama kufikia hatua hii ktk maisha yangu, nilimsifia hadharani bila woga nikijua makosa yaliyofanyika na mtangulizi wake ya kubambika watu kesi na kuwatia magerezani yameisha kumbe wembe ni uleule kama wimbo wao wa kampeni za ccm unavyosema. Mama ataingia kwenye historia na kudhihirishia ulimwengu kuwa mwanamke hawezi madaraka makubwa kama vitabu vya Mungu vinavyosema. Ktk watu nilikuwa naamini ni washika dini na wenye hofu ya Mungu ni Wazanzibar ila kwa huyu mama basi.
Mkuu mtu kushika dini na kuwa na hofu ya Mungu akiwa ccm we umeona wapi..?!!
 
Tena wakuu unaweza kuta kipindi Cha Kayafa yeye ndo alikuwa master minder wa makesi maana anapita mlemle.
 
Kwenye hili hakuna urefu wala ufupi wa mkono wa serikali...

Hapa kuna visasi, chuki, ujinga, upumbavu na atawala kukosa maarifa ya uongozi na utatuzi wa matatizo yanayoikabili nchi hii...!

Kwa ujinga wao wanadhani Freeman Mbowe na CHADEMA ndiyo kikwazo cha maendeleo ya nchi hii matokeo wana weka wazi (expose) ujinga na kukosa maarifa yao ya kiuongozi...!!
"wapinzani walituchelewesha Sana kupata maendeleo ndugu zangu"RIP Kayafa
 
Mhe. Rais ameiambia Dunia kwamba Freman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kutoroka nchi mwaka 2020. Nakosa maneno mazuri yakukosoa kauli hii ila naomba nitumie busara kusema si maneno sahihi ya utetezi yaliyopaswa kutolewa na Mhe. Rais. Ni kauli inayodhihirisha wazi kwamba Mbowe anafunguliwa makosa ya ugaidi kwa maelekezo maalumu. Na naomba niunge mkono hoja yangu na ushahidi ufuatao.
Na JAJI MKUU Anaomba MAGEREZA Yaongezwe WAPINZANI wajazwe
Screenshot_20210809-225522_Twitter.jpg

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Mhe. Rais ameiambia Dunia kwamba Freman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kutoroka nchi mwaka 2020. Nakosa maneno mazuri yakukosoa kauli hii ila naomba nitumie busara kusema si maneno sahihi ya utetezi yaliyopaswa kutolewa na Mhe. Rais. Ni kauli inayodhihirisha wazi
Labda Maza anadanganywa...... Hivi kweli kama Mbowe alijua ana hiyo kesi halafu akaweza kutoka nje ya nchi.... Kwa akili ya kawaida tu kweli anvejirudisha. Kama Lema na Lissu wamesepa kwa ni yeye ishindikane. Kweli za kuwambiwa changanya na zako.
 
Inawezekana Sabaya alikuwa chambo wa kumhadaa Mbowe akajileta mwenyewe
 
Mama nimekuwa nakuunga mkono sana, ila ili la Mbowe, hatupo pamoja, linavunja heshima sana, hebu fikiri upya najuwa alikukera sana kuhusu mihamala, ila achana nae, najua pia suala la katiba halikupi shida!
 
Kwenye hili hakuna urefu wala ufupi wa mkono wa serikali...

Hapa kuna visasi, chuki, ujinga, upumbavu na atawala kukosa maarifa ya uongozi na utatuzi wa matatizo yanayoikabili nchi hii...!

Kwa ujinga wao wanadhani Freeman Mbowe na CHADEMA ndiyo kikwazo cha maendeleo ya nchi hii matokeo wana weka wazi (expose) ujinga na kukosa maarifa yao ya kiuongozi...!!
🤐
 
Hiyo mikono mirefu mbona haijamkamata aliyejiunganishia bomba la mafuta hapa mjini?
Kwa kweli hasa wale jamaa wa Kigamboni,hatusikii kesi yao,au ilikuwa zuga,bado wanaendelea na kusomba mzigo.
 
Mhe. Rais ameiambia Dunia kwamba Freman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kutoroka nchi mwaka 2020. Nakosa maneno mazuri yakukosoa kauli hii ila naomba nitumie busara kusema si maneno sahihi ya utetezi yaliyopaswa kutolewa na Mhe. Rais. Ni kauli inayodhihirisha wazi kwamba Mbowe anafunguliwa makosa ya ugaidi kwa maelekezo maalumu. Na naomba niunge mkono hoja yangu na ushahidi ufuatao.

Pia soma > Rais Samia: Mbowe alijificha Nairobi aliporudi akaanza harakati za katiba

1. Raia yoyote anayetaka kusafiri nje ya nchi lazima aruhusiwe na wanajeshi wa Uhamiaji ambao wapo kila mpaka. Bila ruhusa ya Askari wa Uhamiaji Tanzania kuruhusu mtu kuondoka nchini uwezi kuruhusiwa kuondoka na hata upande wa pili awawezi kukupokea. Ni ukweli ulio wazi kwamba Mhe. safari zake zote nje ufuata taratibu. Kama alitoroka Basi alitakiwa kushtakiwa kwa kuvuka mpaka kinyume Cha sheria.

2. Kama ilivyo kuondoka , kuingia nchini pia lazima upite kwenye dawati la wanajeshi wa Uhamiaji wakuruhusu kuingia nchini na yeye alifanya hivyo ndo maana hakuna shauri lililofunguliwa dhidi yake la kuingia nchini kinyume cha sheria.

3. Je, jeshi la Polisi na hao maafisa usalama kwanini awakumkamata wakati anatoka au kuingia?

4. Baada ya kuingia nchini alifanya Mikutano na vyombo vya habari, hakukamatwa. Alizunguka karibu nchi nzima kuzindua chadema digital hakuna aliyemkamata na haya yote yanafanyika Mhe. Rais akiwa madarakani.

5. Alipata msiba na akaenda msibani hakuna aliyemkamata.

6. Alisafiri kwenda Mwanza, RPC Mwanza alipohojiwa akasema amepokea maelekezo kutoka juu na hakusema Ugaidi.

7. Alitolewa mwanza akapelekwa Dsms ambapo RPC wa kinondoni alimweleza wazi kwamba atamfungulia makosa yasiyo na dhamana.

8. Rais anazungumzia CDM ambayo imesajiliwa na ipo kihalali as if siyo chama Cha siasa anachokitambua na kwa matamshi yake Ni Kama yeye anaamini chadema haipaswi kuwepo ila hatoi sababu kwanini isiwepo.

Kwa mazingira haya ni wazi kwamba mahakama inacheza ngoma za kisiasa na haya ndiyo yaliyofanywa na awamu iliyopita yakujaza watu Magereza bila hatia kisha JPM alipofariki tu Wana ccm wote wametolewa Magereza kwa kauli mbiu usirithi adui wa mwenzio. Je, tukiendelea na mfumo huu wa kila kiongozi kuelekeza kuwekwa ndani kwa mtu mwenye fikra tofauti na zake tutaligikisha pahali gani Taifa?
"Hata msipotuchagua tutaunda serikali tu". SSH.
LET MBOWE FREE!!!
 
Hiyo mikono mirefu mbona haijamkamata aliyejiunganishia bomba la mafuta hapa mjini?
Kwa kweli hasa wale jamaa wa Kigamboni,hatusikii kesi yao,au ilikuwa zuga,bado wanaendelea na kusomba mzigo.
Ni deal ya viongozi ndio maana wako kimya.
Walitaka kuonyesha wanaibua madudu, kumbe ni janjajanja 2025 watatuleza tu kesi ya hao jamaa ilisikiliziwa mahakama ipi.
 
Nawaonea huruma. Yule mliemtegemea ndo hivyo tena kawatwanga nyundo ya utosi.

Mama anaupiga mwingi

Matanga muacheni Mama achape kazi
 
Back
Top Bottom