Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Rais wa nchi tunakupongeza kwa akili kubwa kubalance mambo kwa kuhudhuria Tamasha la Simba, Mwanzo walikubeza na kukutupia kila aina ya lawama baada ya kuwapa kongole kwa vitendo timu ya wananchi Yanga baada ya kufanya vizuri michuano ya kimataifa.
Sasa basi atutegemei kusikia tena kelele za wafuasi wa mhindi wa bombay kuwa anapendelea, mmemualika na amekuja kumaliza vidomodomo, kazi iliyobaki ni mpira uwanjani na sio mdomoni.
Sasa basi atutegemei kusikia tena kelele za wafuasi wa mhindi wa bombay kuwa anapendelea, mmemualika na amekuja kumaliza vidomodomo, kazi iliyobaki ni mpira uwanjani na sio mdomoni.