Rais Samia umefanikiwa pakubwa kucheza na akili za mbumbumbu

Majok majok

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2023
Posts
783
Reaction score
2,057
Rais wa nchi tunakupongeza kwa akili kubwa kubalance mambo kwa kuhudhuria Tamasha la Simba, Mwanzo walikubeza na kukutupia kila aina ya lawama baada ya kuwapa kongole kwa vitendo timu ya wananchi Yanga baada ya kufanya vizuri michuano ya kimataifa.

Sasa basi atutegemei kusikia tena kelele za wafuasi wa mhindi wa bombay kuwa anapendelea, mmemualika na amekuja kumaliza vidomodomo, kazi iliyobaki ni mpira uwanjani na sio mdomoni.
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza makasiriko mkuu
 
Reactions: BRN
Baada ya kutotegemea? Usiumie sana, kule Chamazi kuna mechi ya Yanga na AS Vita, anagalia huko, usiangalie yanayojiri kwa Mkapa
Iyo mechi umeicheza wewe ya chamazi?
 
Yuko vizuri kwenye kitu Gani? Hivi huyu bila kudandia hili tamasha unadhani anaweza kupata wapi audience kubwa kama hii?
Kadandia au mmemualika nyie wenyewe? Malalamiko yalikuwa mengi akaona isiwe tabu amekuja kuwalainisha!
 
Upuuzi Mtupu
 
Reactions: BRN
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…