Rais Samia umekubali kutukuzwa hivi? Yanayofanyika shuleni siku yako ya kuzaliwa siyo sawa

Kuna Siku walifanya suprise ya keki ya birthday Ikulu wakati wa Jakaya

Ila wakati wa Mwamba JPM sijui wapika keki waligoma?

PM wa UK yupo kikaangoni kwa sherehe hizi hizi za birthday
Yameratibiwa na clouds fm/tv wazee wakujipendekeza na kusaka teuzi.
 
Nimeona jambo ambalo sikuwahi kuliona kwa maraisi wengine wote na imebibidi nishtuke kidogo. Wanafunzi wa mashule mbalimbali za msingi na sekondari Dar na mikoani nimeona leo wameimbishwa na kurekodiwa madarasani kuhusu birthday ya mama Samia.

Hawa wanafunzi hawajui chochote kuhusu siku yako ya birthday ni wazi waliletewa hilo Jambo na kuambiwa waimbe.
Sasa nachojiuliza haya yote ya nini? Yana faida gani?

Shule ya Benjamini Mkapa leo hapo inafanywa sherehe ya birthday yako na Watoto wapo nje kusheherekea hii birthday yako. Nasisitiza hawa hawafanyi kwa utashi wao kwa kuwa hata pegine hawajui tarehe yako ya kuzaliwa bali wanafanya kwa msukumo.

Kusheherekea birthday ni Jambo zuri na sina tatizo nalo, Ila huku kwenda mashule mbalimbali hadi mikoani na kuwaimbisha kisha kuwarekodi Sio sawa kabisa.

Nimeona kituo kimoja cha redio wakisema hii siku ya tarehe 27 iwe siku ya mama kitaifa.
Umekubali kutukuzwa hivi? Ikiwa umeridhia haya basi pia sina tatizo.
Happy birthday SSH.

View attachment 2097063View attachment 2097064View attachment 2097066View attachment 2097067View attachment 2097068
Ya Mbowe pale mahakamani hukusema- wape watu uhuru wao
 
kwani kua na PhD hizi za kukariri ndo kua na akili kubwa? Maprofesa wangapi wamepewa nafasi katika sector mbalimbali nchi hii wamefanya nini?
Zile pHD zote zilikuwa na njaa ndio maana kuna muda walikuwa wakifanya maamuzi unashangaa unasema huyu kweli ni Prof? Kitu nilichokuja kugundua ni kwamba wote wale walikuwa wakifanya yake kujaza matumbo yao na kulinda nafasi zao.

Inafikirisha sana Prof. Kuitwa mpumbavu mbele ya kadamnasi halafu bado unaendelea kuwa waziri, hivyo njaa ilikuwa ni tatizo ila wana uwezo mzuri tu huoni kabudi kavutwa ikulu kuwa mtafasiri wa mikataba ambayo Mama amepanga kuingia na mabeberu kwenye raslimali zetu, ukiona hivyo jua uwezo upo.
 
utukufu wa kulazimishwa
Birthday ya Baraka Obama mliijua na kusherehekea kimoyo moyo, birthday ya Queen Elizabeth mnajua, etc. Raisi Samia Suluhu Hasan - Huyu ni one of our heroes (Mkwawa, Kinjekitile, Nyererr, Magufuli, Mkapa, Ali Hasan etc) - ni mashujaa wetu. Tufurahie na waliopo hai tusherehekee nao. Kataa/kubali - like it or not, she is our hero. Kwa walio hai tuwaonyeshe upendo tusingoje wakufe! Kipende chako kwanza! Huyu ni Raisi wetu, tumtakie mema. Yupo kwa niaba yetu.

Happy birthday Samia(Raisi, Amir jesh mkuu, mwenyekiti wa CCM, Mama na mke wa mtu).
 
Hepi besdei le présidante View attachment 2097252
Hawa Wasafi ndio maana wanafungiwa mara kwa mara, hawajafuata taratibu za uwasilishaji wa habari kwa jamii. Taarifa kama hizi ambazo hazina uwiano sahihi hasa kwa siku kama ya leo ambapo tunasherekea siku ya kuzaliwa ya "mama" zinaweza kuzua taharuki. Naamini vyombo vyenye mamlaka husika vitawashughulikia mara moja !
 
Hawa Wasafi ndio maana wanafungiwa mara kwa mara, hawajafuata taratibu za uwasilishaji wa habari jamii. Taarifa kama hizi ambazo hazina uwiano sahihi hasa kwa simu kama ya leo ambapo tunasherekea siku ya kuzaliwa ya "mama" zinaweza kuzua taharuki. Naamini vyombo vyenye mamlaka husika vitawashughulikia mara moja !
Kwa hiyo wasireport ukweli ?
 
Nimeona jambo ambalo sikuwahi kuliona kwa maraisi wengine wote na imebibidi nishtuke kidogo. Wanafunzi wa mashule mbalimbali za msingi na sekondari Dar na mikoani nimeona leo wameimbishwa na kurekodiwa madarasani kuhusu birthday ya mama Samia.

Hawa wanafunzi hawajui chochote kuhusu siku yako ya birthday ni wazi waliletewa hilo Jambo na kuambiwa waimbe.
Sasa nachojiuliza haya yote ya nini? Yana faida gani?

Shule ya Benjamini Mkapa leo hapo inafanywa sherehe ya birthday yako na Watoto wapo nje kusheherekea hii birthday yako. Nasisitiza hawa hawafanyi kwa utashi wao kwa kuwa hata pegine hawajui tarehe yako ya kuzaliwa bali wanafanya kwa msukumo.

Kusheherekea birthday ni Jambo zuri na sina tatizo nalo, Ila huku kwenda mashule mbalimbali hadi mikoani na kuwaimbisha kisha kuwarekodi Sio sawa kabisa.

Nimeona kituo kimoja cha redio wakisema hii siku ya tarehe 27 iwe siku ya mama kitaifa.
Umekubali kutukuzwa hivi? Ikiwa umeridhia haya basi pia sina tatizo.
Happy birthday SSH.

View attachment 2097063View attachment 2097064View attachment 2097066View attachment 2097067View attachment 2097068
fursa,

Watu wameona fursa,
We zubaa zubaa tu hapo,unafikiri udc,urc,udas na uded unakujaje!!?

Jiongeze.
 
Kwa hiyo wasireport ukweli ?
Waripoti habari kama hizi

IMG_20220127_155628.jpg
IMG_20220127_155706.jpg
 
Nimeona jambo ambalo sikuwahi kuliona kwa maraisi wengine wote na imebibidi nishtuke kidogo. Wanafunzi wa mashule mbalimbali za msingi na sekondari Dar na mikoani nimeona leo wameimbishwa na kurekodiwa madarasani kuhusu birthday ya mama Samia.

Hawa wanafunzi hawajui chochote kuhusu siku yako ya birthday ni wazi waliletewa hilo Jambo na kuambiwa waimbe.
Sasa nachojiuliza haya yote ya nini? Yana faida gani?

Shule ya Benjamini Mkapa leo hapo inafanywa sherehe ya birthday yako na Watoto wapo nje kusheherekea hii birthday yako. Nasisitiza hawa hawafanyi kwa utashi wao kwa kuwa hata pegine hawajui tarehe yako ya kuzaliwa bali wanafanya kwa msukumo.

Kusheherekea birthday ni Jambo zuri na sina tatizo nalo, Ila huku kwenda mashule mbalimbali hadi mikoani na kuwaimbisha kisha kuwarekodi Sio sawa kabisa.

Nimeona kituo kimoja cha redio wakisema hii siku ya tarehe 27 iwe siku ya mama kitaifa.
Umekubali kutukuzwa hivi? Ikiwa umeridhia haya basi pia sina tatizo.
Happy birthday SSH.

View attachment 2097063View attachment 2097064View attachment 2097066View attachment 2097067View attachment 2097068
Ni kawaida kwa madikteta pote ulimwenguni kupenda kusifiwa na kutukuzwa hasa wale wenye uwezo mdogo na akili ndogo
 
Ya Mbowe pale mahakamani hukusema- wape watu uhuru wao
Mkuu pale mahakamani shughuli ziliahirishwa? Leo wanafunzi benja walikuwa nje kwa shughi hii
Pia unapaswa kufahamu huu sio Uhuru ni kuamriwa, jiulize waziri anajuaje Kuna shughuli yaa birthday ya raisi sehemu fulani? Na red carpet juu?
 
Nimeona jambo ambalo sikuwahi kuliona kwa maraisi wengine wote na imebibidi nishtuke kidogo. Wanafunzi wa mashule mbalimbali za msingi na sekondari Dar na mikoani nimeona leo wameimbishwa na kurekodiwa madarasani kuhusu birthday ya mama Samia.

Hawa wanafunzi hawajui chochote kuhusu siku yako ya birthday ni wazi waliletewa hilo Jambo na kuambiwa waimbe.
Sasa nachojiuliza haya yote ya nini? Yana faida gani?

Shule ya Benjamini Mkapa leo hapo inafanywa sherehe ya birthday yako na Watoto wapo nje kusheherekea hii birthday yako. Nasisitiza hawa hawafanyi kwa utashi wao kwa kuwa hata pegine hawajui tarehe yako ya kuzaliwa bali wanafanya kwa msukumo.

Kusheherekea birthday ni Jambo zuri na sina tatizo nalo, Ila huku kwenda mashule mbalimbali hadi mikoani na kuwaimbisha kisha kuwarekodi Sio sawa kabisa.

Nimeona kituo kimoja cha redio wakisema hii siku ya tarehe 27 iwe siku ya mama kitaifa.
Umekubali kutukuzwa hivi? Ikiwa umeridhia haya basi pia sina tatizo.
Happy birthday SSH.

View attachment 2097063View attachment 2097064View attachment 2097066View attachment 2097067View attachment 2097068
Watu wamekuwa wajinga kila kitu kutukuza mtu mmoja. Serikali ni mkusanyiko wa watu mbalimbali Raisi ni kiongozi tu anafuata maelekezo na utendaji. Si kila kitu anaamua Raisi hela inapangiwa na bunge na nihela ya wananchi kwa ajili ya maendeleo yao na si za Raisi. Tufuate katiba. Tuache sifa za kijinga
 
😂🤣 naanza kuona dalili za kituo fulani cha TV kinaandamwa
 
Sokine hakutaka kuwaona wanafunzi kwenye mapokezi wala mikutano yake, alisisitiza wakae madarasani wasome kwakuwa kalenda ya shule haikujumuisha ziara zake
 
NB: hakuna raisi Tanzania aliyependwa akiwa madarakani,

Siku moja mtamkumbuka mama kama mlivyomkumbuka magufuli licha ya kumchukia akiwa hai.
 
Back
Top Bottom