Rais Samia umekubali kutukuzwa hivi? Yanayofanyika shuleni siku yako ya kuzaliwa siyo sawa

Na hapo hapo ukute kuna wanafunzi hawana hata daftari , mie nilipo ona kwenye TV ya chichiemu nikasema loloooo.....
 
Si tulikubaliana sisi sio kisiwa? Tunaenda na dunia inavyotaka? Au?
 
Jamani hizi sherehe zisiwe zinapita hivi hivi bila sisi wananchi kupewa keki au hata pilau.
 
Desa refu ukimkandia Magufuli wakati mada iko wazi kuhusu Hangaya. Kweli nyie watu iko na ttz kichwani.
 
Hakuna mambo ninayoyachukia kama kusifu sifu mtu na kumtukuza matokeo yake mambo ya kusifu na kuabudu yanarudi tena mdogo mdogo .
 
Desa refu ukimkandia Magufuli wakati mada iko wazi kuhusu Hangaya. Kweli nyie watu iko na ttz kichwani.
Vipi unateseka ukiwa wapi? Kalale makaburoni kwa Magufuli wako
 
Tanzania ni nchi ya ajabu sana, yaani Birthday ya mama Mwakitozo ndiyo imekuwa ajenda nchi nzima - kweli ?
 
Ni wivu tu (kwa sauti ya Gwajiboy) 😁😁
 
Mungu wangu Hero?😁
 
Hero ni mtu wa aina gani?
Halafu unajua tofauti ya hero na heroine?
Nafkiri hapa tupewe majibu kabsaa,vinginevyo nafungua kesi ya pingamizi tuanze pishana tu mahakamani
 
Tutajie na Mali zake alizozipata akiwa kiongozi !! Maana wengi wetu hatuzijui !! MTU anaiba lakini Mali hazionekani,! ??
 
Yuko kwenye campaini za 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…