Rais Samia umeleta furaha nchini

Rais Samia umeleta furaha nchini

lukala

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Posts
594
Reaction score
590
Kwaheshima kubwa ,nawasalimu Watanzania wote habari za asubuhi!!!

Let me go direct to my point , hii nchi ilipoteza mwelekeo miaka mitano iliyopita, mambo yake yalikuwa hayatabiriki Sana hata kama mambo mengine yalikuwa kisheria.

Mfano, suala la ajira Kwa watumishi wa serikali, watumishi kupanda madaraja, kukosekana Kwa mlalo wa biashara za mazao, na mambo mengine kibao.

Leo hii tunaona mshikamano mkubwa wa kitaifa, wanasiasa wanafurahi pamoja bila mvutano wa kiitakadi, watumishi wa umma hatusikii malalamiko Yao kama mwanzo hata wafanyabiashara Leo wanafurahia nchi Yao.

Hongera mama Kwa kuonyesha njia bila mikwaruzano
 
Ndio tumepata furaha ya tozo, kubanda bei vitu na utepetevu wa wafanyakazi

USSR
 
Watumishi wa umma na wanasiasa unaowazungumzia wanafika asilimia ngapi ya population ya Tanzania?

Acheni masihara watu wanalia mitaani mlipuko wa Bei, hujawahi kwenda hospitali ukakuta watu hawapewi huduma kwa kukosa fedha mkuu?

Usichukulia jamii iliyokuzunguka wewe ya watu kama 10,000 ukajua ndo Tanzania nzima, watu hawaelewi huku

Eti kaongeza furaha!! Rubbish
 
CCM nje ya kusifia ujinga hawawezi kufanya kitu kingine chochote
 
Yes furaha kama yote.

Jana nimetazama UTV Lisu kasimama barabarani kabisa pale Msamvu anahutubia wananchi wamejawa furaha amani kwa raha zao wenyewe.

Enzi zile ilikuwa ni Jiwe tu ndo anasimamisha msafara wake road kisha tiss wanamletea na hindi la kuchoma anakula hapo hapo
 
Furaha kwa walamba asali, wale aliowaambia wale wasivimbiwe na kwamba wale kwa urefu wa kamba zao!
 
Kwaheshima kubwa ,nawasalimu Watanzania wote habari za asubuhi!!!

Let me go direct to my point , hii nchi ilipoteza mwelekeo miaka mitano iliyopita, mambo yake yalikuwa hayatabiriki Sana hata kama mambo mengine yalikuwa kisheria.

Mfano, suala la ajira Kwa watumishi wa serikali, watumishi kupanda madaraja, kukosekana Kwa mlalo wa biashara za mazao, na mambo mengine kibao.

Leo hii tunaona mshikamano mkubwa wa kitaifa, wanasiasa wanafurahi pamoja bila mvutano wa kiitakadi, watumishi wa umma hatusikii malalamiko Yao kama mwanzo hata wafanyabiashara Leo wanafurahia nchi Yao.

Hongera mama Kwa kuonyesha njia bila mikwaruzano
Rais Samia Kongole sana Kwake
 
Yes furaha kama yote.
Jana nimetazama UTV Lisu kasimama barabarani kabisa pale Msamvu anahutubia wananchi wamejawa furaha amani kwa raha zao wenyewe.
Enzi zile ilikuwa ni Jiwe tu ndo anasimamisha msafara wake road kisha tiss wanamletea na hindi la kuchoma anakula hapo hapo

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Yaani kwa kweli asiyependa furaha ya sasa maana yake alikuwa miongoni au suppoter wa lile genge la awamu ile.
 
Back
Top Bottom