lukala
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 594
- 590
Kwaheshima kubwa ,nawasalimu Watanzania wote habari za asubuhi!!!
Let me go direct to my point , hii nchi ilipoteza mwelekeo miaka mitano iliyopita, mambo yake yalikuwa hayatabiriki Sana hata kama mambo mengine yalikuwa kisheria.
Mfano, suala la ajira Kwa watumishi wa serikali, watumishi kupanda madaraja, kukosekana Kwa mlalo wa biashara za mazao, na mambo mengine kibao.
Leo hii tunaona mshikamano mkubwa wa kitaifa, wanasiasa wanafurahi pamoja bila mvutano wa kiitakadi, watumishi wa umma hatusikii malalamiko Yao kama mwanzo hata wafanyabiashara Leo wanafurahia nchi Yao.
Hongera mama Kwa kuonyesha njia bila mikwaruzano