PostGE2025 Rais Samia umemaliza upande wako, subiri nao GenZ, EU, US na TEC watakujibu very soon

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Target kubwa ya speech ya jana ilikuwa kwa makundi makubwa matano yafuatayo.

WAFADHILI, kundi hili linajumuisha nchi za ulaya EU countries na Marekani. Aliwaambia 'Who are You', kwanza vihela vyenu vidogo.
Hili group huwa halina haraka lipo very systematic, consistent litamjibu kwa wakati wake na ataona matokeo yake very soon.

TEC, hili baraza la wasomi lipo very objective haliogopi kuisema kweli white is white, wala halijaanza kwa Samia ni miaka na miaka halionei mtu wala halimbebi mtu. Limesema na litasema tena kazi ni kwako either you take it or leave it.

WANAHARAKATI, hili kundi limeshambuliwa sana kuwa ndilo engine ya maandamano, linafadhiliwa na ili kuipindua serikali. Hili group lina ushawishi mkubwa kwa jamii hasa vijana. Lina malengo yake, na mbinu za kuyafikia hayo ni kuwa mobilize vijana, halipoi sidhani kama vitisho vya jana vitawakatisha tamaa.

CHADEMA, hili kundi limekuwa kama 'Scapegoat', lawama zote zinatupwa kwa Chadema. Kwa vile ni ngumu kuwakamata au kuwateka Wafadhili au Wanaharakati hasira yao inaishia kwa viongozi na wanachama wa Chadema. Hili kundi halijapoa ndilo lililoshikilia mstakabali wote akilipuuza leo atakuja kulitafuta kesho waridhiane.

GenZ, hili kundi ndilo linalompa presha Samia kwa sasa, mwanzo aliwaona kama wahuni lkn baada ya 29/10, ndio kajua sio kundi la kubeza, pamoja na kusema lililipwa na linafuata mkumbo lkn lina uelewa mkubwa kuliko watu wazima walio wengi. GenZ sio wahuni kama Samia anavyodhania, kuna GenZ wenye degree, masters zao ma engineer, madaktari, walimu, mafundi nk. lkn wengi hawana kazi. Hili kundi ndilo hatari kuliko makundi yote. Samia kalipigia simu nafikiri litamjibu muda si mrefu.
 
Muda wa mdomo kuongea sana umeisha jana kasema kama unataka kuandamana toka barabarani muda wowote mnakaribishwa siyo hiyo tarehe 9 tu wakati wowote mnakaribishwa.

Kwahiyo punguzeni mdomo ingieni barabarani mkaibe mali za watu na kuharibu mmeruhusiwa uwanja mweupe
 
Unatualika kwani ya 29/10 ulitualika.

Kapanua uwanja wa vita kila kundi litajibu kwa wakati wake na litapiga sehemu linayotaka. GenZ wataandamana, EU hawawezi kuandamana ila wanajua watapiga wapi.
 
Hapo watakapopiga muathirika mkubwa ni Mama yako na Baba yako misaada isipotoka utalipa kodi tu ili nchi iende utake usitake
 
Huo wimbo ni zilipendwa, kwani ni lini huku chini tulineemeka na mikopo kama kuathirika huku chini kila siku ni kuathirika tumeshazoea.

Halafu ni lini ulisikia mama yangu anasubiri mkopo wa EU.
 
Kwasababu huna akili huwezi kuelewa nyie ndo wale mkiskia mafuta yamepanda bei unasema mimi naathirika vipi wakati sina gari wala pikipiki

Nyumbu kabisa
 
Mama kaongea kidogo tu naona machoko wa kitima wanajamba tu pru pruu pruuuu!!
 
Kwako hivyo ni kidogo watu wa pwani bwana.

Alipanic na hasira juu who are you????? ukiwa kiongozi uwe na kifua kipana.
 
Target kubwa ya speech ya jana ilikuwa kwa makundi makubwa matano yafuatayo.

WAFADHILI, kundi hili linajumuisha nchi za ulaya EU countries na Marekani. Aliwaambia 'Who are You', kwanza vihela vyenu vidogo.
Hili group huwa halina haraka lipo very systematic, consistent litamjibu kwa wakati wake na ataona matokeo yake very soon.

TEC, hili baraza la wasomi lipo very objective haliogopi kuisema kweli white is white, wala halijaanza kwa Samia ni miaka na miaka halionei mtu wala halimbebi mtu. Limesema na litasema tena kazi ni kwako either you take it or leave it.

WANAHARAKATI, hili kundi limeshambuliwa sana kuwa ndilo engine ya maandamano, linafadhiliwa na ili kuipindua serikali. Hili group lina ushawishi mkubwa kwa jamii hasa vijana. Lina malengo yake, na mbinu za kuyafikia hayo ni kuwa mobilize vijana, halipoi sidhani kama vitisho vya jana vitawakatisha tamaa.

CHADEMA, hili kundi limekuwa kama 'Scapegoat', lawama zote zinatupwa kwa Chadema. Kwa vile ni ngumu kuwakamata au kuwateka Wafadhili au Wanaharakati hasira yao inaishia kwa viongozi na wanachama wa Chadema. Hili kundi halijapoa ndilo lililoshikilia mstakabali wote akilipuuza leo atakuja kulitafuta kesho waridhiane.

GenZ, hili kundi ndilo linalompa presha Samia kwa sasa, mwanzo aliwaona kama wahuni lkn baada ya 29/10, ndio kajua sio kundi la kubeza, pamoja na kusema lililipwa na linafuata mkumbo lkn lina uelewa mkubwa kuliko watu wazima walio wengi. GenZ sio wahuni kama Samia anavyodhania, kuna GenZ wenye degree, masters zao ma engineer, madaktari, walimu, mafundi nk. lkn wengi hawana kazi. Hili kundi ndilo hatari kuliko makundi yote. Samia kalipigia simu nafikiri litamjibu muda si mrefu.
Wakati WA vita watu wanaogopa kuwa na Front line nyingi. Sasa huyu mama kafungua front line Tano, simuoni akishinda hii vita.
 
Muda wa mdomo kuongea sana umeisha jana kasema kama unataka kuandamana toka barabarani muda wowote mnakaribishwa siyo hiyo tarehe 9 tu wakati wowote mnakaribishwa.

Kwahiyo punguzeni mdomo ingieni barabarani mkaibe mali za watu na kuharibu mmeruhusiwa uwanja mweupe
In short wewe jamaa ni K na unafichwa ndani ya chupi
 
Wakati WA vita watu wanaogopa kuwa na Front line nyingi. Sasa huyu mama kafungua front line Tano, simuoni akishinda hii vita.
Wafadhili watashusha nondo hataamini macho yake.
 
Back
Top Bottom