PostGE2025 Rais Samia umemaliza upande wako, subiri nao GenZ, EU, US na TEC watakujibu very soon

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Approach mlioichagua kwa mara ya pili hii ya 9 Dec haiwezi kuwork out mtaumiza tu watu

Msiwe nyumbu jifunzeni kuchanganua mambo, msikubali kuwa mitaji ya wanaharakati uchwara

Tieni presha kwenye mambo ambayo Rais ameahidi kuyatekeleza likiwemo suala la katiba mpya na maridhiano na inaonekana ana nia ya dhati katika hili

Mkiendelea kukaza fuvu na mtu mwenyewe mnayetaka kumtoa mnamfahamu lakini

Chukulieni mfano yule Rais wa Venezuela hadi USA wanawapa back up wananchi lakini mwamba kang'ang'ania na wamefanya maandamano makubwa zaidi ya mara 10

Huku Tz yakifikisha idadi hiyo nchi nzima yatabaki magofu matupu tu

Na ukweli mchungu CDM nao wanapitia upepo huu huu ili wanufaike kisiasa na ndiyo walioshikilia bango hili
Sativa,Hilda,Maria,Twaha Mwaipaya hawa wanafahamika ni CDM pamoja na wakenya kadhaa waliolipwa bila kuwasahau Diaspora 🤣

Serikali hii ni katili inabidi kutumia akili sana kupambana naÿo na sio kwenda kwenda ovyo kama mang'ombe

Mwanzoni watu hawakujua kama watakabiliana na hali ile na ndo mana watu walitoka toka ila hii ya sasa hivi kila mtu anajua anachoenda kukutana nacho

Kila la kheri familia
 
Hata yaliyopita watu walikuwa wanashauri kama wewe.
 
Umetumwa????
 
Wote hawatamjibu kwani anaheshimika na mkuu akisema inakuwa ni.sheria. Imperial presidency
 
Umetumwa????
Nikuulize na wewe umetumwa??

Umetumwa damu za ndugu zetu??

Uwezo wako wa kufikiri ndiyo ulipoishia hapo kuwa solution ni kufanya maandamano yasiyo ya amani

Binti wa COET acha kuzalilisha watabe bhana
 
Mama kaongea kidogo tu naona machoko wa kitima wanajamba tu pru pruu pruuuu!!

Wewe mwendawazimu, mtu usiye na akili, kwa nini usiwaache wenye akili timamu wajadili hoja kuliko kuingia humu na kuweka takataka zako?
 
Hata yaliyopita watu walikuwa wanashauri kama wewe.
Kipindi kile watu walijazwa jeshi lipo pamoja na ninyi tokeni pamoja na kujitumia viscreenshot vya kujitumia sms wenyewe na bado tukaingia kwenye mtego

Tukajaa na matokeo nadhani umeyaona kama bado pitia page ya Mange ya twitter uone

So pale tumeoneshwa kwa vitendo ngoja tuone hiyo 9 dec
 
Who are you, USA wameanza kumjibu.
 
Kipindi kile watu walijazwa jeshi lipo pamoja na ninyi tokeni pamoja na kujitumia viscreenshot vya kujitumia sms wenyewe na bado tukaingia kwenye mtego

Tukajaa na matokeo nadhani umeyaona kama bado pitia page ya Mange ya twitter uone

So pale tumeoneshwa kwa vitendo ngoja tuone hiyo 9 dec
Sawa this time watakuja kivingine kwa vile wameshawajua waliokuwa wanawategemea.
 
Back
Top Bottom