Jana kasema TEC wametoa waraka 8 toka awe rais.TEC wana-deal na issues zaidi hawaimbi taarab wale.
Tena kwa sasa wana uhakika nyaraka zinamfikia ndiyo watakuwa wanapiga penyewe!!
Unatualika kwani ya 29/10 ulitualika.Muda wa mdomo kuongea sana umeisha jana kasema kama unataka kuandamana toka barabarani muda wowote mnakaribishwa siyo hiyo tarehe 9 tu wakati wowote mnakaribishwa.
Kwahiyo punguzeni mdomo ingieni barabarani mkaibe mali za watu na kuharibu mmeruhusiwa uwanja mweupe
Hapo watakapopiga muathirika mkubwa ni Mama yako na Baba yako misaada isipotoka utalipa kodi tu ili nchi iende utake usitakeUnatualika kwani ya 29/10 ulitualika.
Kapanua uwanja wa vita kila kundi litajibu kwa wakati wake na litapiga sehemu linayotaka. GenZ wataandamana, EU hawawezi kuandamana ila wanajua watapiga wapi.
Huo wimbo ni zilipendwa, kwani ni lini huku chini tulineemeka na mikopo kama kuathirika huku chini kila siku ni kuathirika tumeshazoea.Hapo watakapopiga muathirika mkubwa ni Mama yako na Baba yako misaada isipotoka utalipa kodi tu ili nchi iende utake usitake
Ugumu wa maisha na Kodi vikizidi kila mtu atainuka kuikataa na kupambana na serikali isiyojali walipa Kodi.Hapo watakapopiga muathirika mkubwa ni Mama yako na Baba yako misaada isipotoka utalipa kodi tu ili nchi iende utake usitake
Kumbe unajua, basi punguzen mdomo. Masikin jeuri mmejaa wengi sanaHapo watakapopiga muathirika mkubwa ni Mama yako na Baba yako misaada isipotoka utalipa kodi tu ili nchi iende utake usitake
Kwasababu huna akili huwezi kuelewa nyie ndo wale mkiskia mafuta yamepanda bei unasema mimi naathirika vipi wakati sina gari wala pikipikiHuo wimbo ni zilipendwa, kwani ni lini huku chini tulineemeka na mikopo kama kuathirika huku chini kila siku ni kuathirika tumeshazoea.
Halafu ni lini ulisikia mama yangu anasubiri mkopo wa EU.
Kuna member amesema anawaambia Who are you wakati hadi chupi anaagiza kwao.Kumbe unajua, basi punguzen mdomo. Masikin jeuri mmejaa wengi sana
Kwako hivyo ni kidogo watu wa pwani bwana.Mama kaongea kidogo tu naona machoko wa kitima wanajamba tu pru pruu pruuuu!!
TEC wanazidi bwana, wamejawa na udini mpaka wanataka kuliharibu taifa hili.Kwako hivyo ni kidogo watu wa pwani bwana.
Alipanic na hasira juu who are you????? ukiwa kiongozi uwe na kifua kipana.
Iharibike mara ngapi hatuna rais mwenye stahaTEC wanazidi bwana, wamejawa na udini mpaka wanataka kuliharibu taifa hili.
Wakati WA vita watu wanaogopa kuwa na Front line nyingi. Sasa huyu mama kafungua front line Tano, simuoni akishinda hii vita.Target kubwa ya speech ya jana ilikuwa kwa makundi makubwa matano yafuatayo.
WAFADHILI, kundi hili linajumuisha nchi za ulaya EU countries na Marekani. Aliwaambia 'Who are You', kwanza vihela vyenu vidogo.
Hili group huwa halina haraka lipo very systematic, consistent litamjibu kwa wakati wake na ataona matokeo yake very soon.
TEC, hili baraza la wasomi lipo very objective haliogopi kuisema kweli white is white, wala halijaanza kwa Samia ni miaka na miaka halionei mtu wala halimbebi mtu. Limesema na litasema tena kazi ni kwako either you take it or leave it.
WANAHARAKATI, hili kundi limeshambuliwa sana kuwa ndilo engine ya maandamano, linafadhiliwa na ili kuipindua serikali. Hili group lina ushawishi mkubwa kwa jamii hasa vijana. Lina malengo yake, na mbinu za kuyafikia hayo ni kuwa mobilize vijana, halipoi sidhani kama vitisho vya jana vitawakatisha tamaa.
CHADEMA, hili kundi limekuwa kama 'Scapegoat', lawama zote zinatupwa kwa Chadema. Kwa vile ni ngumu kuwakamata au kuwateka Wafadhili au Wanaharakati hasira yao inaishia kwa viongozi na wanachama wa Chadema. Hili kundi halijapoa ndilo lililoshikilia mstakabali wote akilipuuza leo atakuja kulitafuta kesho waridhiane.
GenZ, hili kundi ndilo linalompa presha Samia kwa sasa, mwanzo aliwaona kama wahuni lkn baada ya 29/10, ndio kajua sio kundi la kubeza, pamoja na kusema lililipwa na linafuata mkumbo lkn lina uelewa mkubwa kuliko watu wazima walio wengi. GenZ sio wahuni kama Samia anavyodhania, kuna GenZ wenye degree, masters zao ma engineer, madaktari, walimu, mafundi nk. lkn wengi hawana kazi. Hili kundi ndilo hatari kuliko makundi yote. Samia kalipigia simu nafikiri litamjibu muda si mrefu.
In short wewe jamaa ni K na unafichwa ndani ya chupiMuda wa mdomo kuongea sana umeisha jana kasema kama unataka kuandamana toka barabarani muda wowote mnakaribishwa siyo hiyo tarehe 9 tu wakati wowote mnakaribishwa.
Kwahiyo punguzeni mdomo ingieni barabarani mkaibe mali za watu na kuharibu mmeruhusiwa uwanja mweupe
Wafadhili watashusha nondo hataamini macho yake.Wakati WA vita watu wanaogopa kuwa na Front line nyingi. Sasa huyu mama kafungua front line Tano, simuoni akishinda hii vita.