Haya kama ndo hivyo uonavyoIharibike mara ngapi hatuna rais mwenye staha
Hata yaliyopita watu walikuwa wanashauri kama wewe.Approach mlioichagua kwa mara ya pili hii ya 9 Dec haiwezi kuwork out mtaumiza tu watu
Msiwe nyumbu jifunzeni kuchanganua mambo, msikubali kuwa mitaji ya wanaharakati uchwara
Tieni presha kwenye mambo ambayo Rais ameahidi kuyatekeleza likiwemo suala la katiba mpya na maridhiano na inaonekana ana nia ya dhati katika hili
Mkiendelea kukaza fuvu na mtu mwenyewe mnayetaka kumtoa mnamfahamu lakini
Chukulieni mfano yule Rais wa Venezuela hadi USA wanawapa back up wananchi lakini mwamba kang'ang'ania na wamefanya maandamano makubwa zaidi ya mara 10
Huku Tz yakifikisha idadi hiyo nchi nzima yatabaki magofu matupu tu
Na ukweli mchungu CDM nao wanapitia upepo huu huu ili wanufaike kisiasa na ndiyo walioshikilia bango hili
Sativa,Hilda,Maria,Twaha Mwaipaya hawa wanafahamika ni CDM pamoja na wakenya kadhaa waliolipwa bila kuwasahau Diaspora 🤣
Serikali hii ni katili inabidi kutumia akili sana kupambana naÿo na sio kwenda kwenda ovyo kama mang'ombe
Mwanzoni watu hawakujua kama watakabiliana na hali ile na ndo mana watu walitoka toka ila hii ya sasa hivi kila mtu anajua anachoenda kukutana nacho
Kila la kheri familia
Wakiguswa EU au mataifa ya nje unakua mpole shida nn kwanii wee shost Lucharisa.Hapo watakapopiga muathirika mkubwa ni Mama yako na Baba yako misaada isipotoka utalipa kodi tu ili nchi iende utake usitake
Umetumwa????Approach mlioichagua kwa mara ya pili hii ya 9 Dec haiwezi kuwork out mtaumiza tu watu
Msiwe nyumbu jifunzeni kuchanganua mambo, msikubali kuwa mitaji ya wanaharakati uchwara
Tieni presha kwenye mambo ambayo Rais ameahidi kuyatekeleza likiwemo suala la katiba mpya na maridhiano na inaonekana ana nia ya dhati katika hili
Mkiendelea kukaza fuvu na mtu mwenyewe mnayetaka kumtoa mnamfahamu lakini
Chukulieni mfano yule Rais wa Venezuela hadi USA wanawapa back up wananchi lakini mwamba kang'ang'ania na wamefanya maandamano makubwa zaidi ya mara 10
Huku Tz yakifikisha idadi hiyo nchi nzima yatabaki magofu matupu tu
Na ukweli mchungu CDM nao wanapitia upepo huu huu ili wanufaike kisiasa na ndiyo walioshikilia bango hili
Sativa,Hilda,Maria,Twaha Mwaipaya hawa wanafahamika ni CDM pamoja na wakenya kadhaa waliolipwa bila kuwasahau Diaspora 🤣
Serikali hii ni katili inabidi kutumia akili sana kupambana naÿo na sio kwenda kwenda ovyo kama mang'ombe
Mwanzoni watu hawakujua kama watakabiliana na hali ile na ndo mana watu walitoka toka ila hii ya sasa hivi kila mtu anajua anachoenda kukutana nacho
Kila la kheri familia
Leo umeamka na mimi ?Wakiguswa EU au mataifa ya nje unakua mpole shida nn kwanii wee shost Lucharisa.
Mxxxxiiiieeeew
Nikuulize na wewe umetumwa??Umetumwa????
Mama kaongea kidogo tu naona machoko wa kitima wanajamba tu pru pruu pruuuu!!
Kipindi kile watu walijazwa jeshi lipo pamoja na ninyi tokeni pamoja na kujitumia viscreenshot vya kujitumia sms wenyewe na bado tukaingia kwenye mtegoHata yaliyopita watu walikuwa wanashauri kama wewe.
Sawa this time watakuja kivingine kwa vile wameshawajua waliokuwa wanawategemea.Kipindi kile watu walijazwa jeshi lipo pamoja na ninyi tokeni pamoja na kujitumia viscreenshot vya kujitumia sms wenyewe na bado tukaingia kwenye mtego
Tukajaa na matokeo nadhani umeyaona kama bado pitia page ya Mange ya twitter uone
So pale tumeoneshwa kwa vitendo ngoja tuone hiyo 9 dec
Wala siyo mgonjwa wa akili huyu, maana mgonjwa wa akili ana akili lkn akili yake inaumwa. Huyu wetu hana akili kabisa.Huu sio mda wa kujibizana na mgonjwa mwenye matatizo ya akili ni kumuonesha kwa vitendo