Hapana Mama alimuona Lissu akiwa bado Nairobi Kenya. Sokoine alimuona Lissu akiwa Leuven University hospital mjini Brussels UbelgijiKwa hiyo Balozi Sokoine aliongozana na mama Samia sio alienda kivyakevyake?
Kwahiyo mama alimuona Lisu mara mbili ? Naomba ufafanuzi