Rais Samia umenifurahisha sana kwa maamuzi makubwa uliyofanya kwa maslahi mapana ya Taifa

Kwa hiyo Balozi Sokoine aliongozana na mama Samia sio alienda kivyakevyake?
Kwahiyo mama alimuona Lisu mara mbili ? Naomba ufafanuzi
Hapana Mama alimuona Lissu akiwa bado Nairobi Kenya. Sokoine alimuona Lissu akiwa Leuven University hospital mjini Brussels Ubelgiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…