Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,207
- 17,674
Maswali chechefu:
1. Je, kwanini Mhe Rais Samia jana aliisifu TPA na kuimwagia minyama kwa "Gawio kubwa ambalo halikuwepo huko nyuma" baada ya kupokea Gawio la Tshs 153.9 Billion toka kwa Mkurugenzi Mkuu, Bw. Mbossa na Mjumbe waBodi, Bw. Minja?
2. Je, Rais hajui kuwa kuna miaka TPA ilikuwa inatoa Gawio mara tatu zaidi ya Gawio hilo kiduchu la jana ?
3. Je, Rais Samia anajua kuwa Desemba 21, 2019, Mhe Isaak Kamwele, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Masiliano, alimchimba mkwara Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Deusdedit Kakoko, kuwa Gawio la Tshs 480 Billion la 2018/19 ni dogo mno, na kumtaka ahakikishe 2019/20 Gawio linafika Tshs Trillion moja vinginevyo atamfukuza kazi?
4. Je, nini kimetokea hadi nchi yetu tunafurahia kupata gawio la mchango ie Tshs 153.9 Bwakati tuliishawahi kujiwekea lengo laTshs Trillion moja?
NUKUU
Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini, Isack Kamwelwe ameitaka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuongeza gawio kwa Serikali kutoka Sh480 bilioni la mwaka 2018/19 hadi Sh1 trilioni mwaka 2019/2020.
Amesema jambo hilo lisipotimia atamfukuza kazi mkurugenzi mkuu wa mamlaka hiyo, Deusdedit Kakoko, Ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Desemba 21, 2019 katika uzinduzi wa bodi mpya ya mamlaka hiyo yenye wajumbe saba ikiongozwa na Profesa Ignas Rubaratuka aliyeteuliwa kwa mara ya pili.
====
Pia soma: Rais Samia: Waliosema nimeuza Bandari na Bahari faida yake ndio hii