Rais Samia unadanganywa, DP World hajaleta tija yoyote kwenye Bandari ya Dar es Salaam

Nchi hii inaongozwa na vilaza!! Hili swala la kutoa magawio ni mapicha tuu! Enzi ya mwenda Magu alipokea cheki mifano huku nyuma tukiambiwa na mkaguzi mkuu wa Serikali kuwa mashirika yaleyale yameendeshwa kwa hasara!! Inq maana wanapotoa ni kufurahisha waTanzania na kuonyesha kuwa wametoa hela!!

Ndio maana hili Taifa limeishia kuwa na mkopo wa juu kupindukia!
Tuendelee kupiga mwingi
 
kamwe siwezi kumlalamikia mpotoshaji mnyonge, ni aibu na ni kosa la kizalendo, kwa watu makini na wenye maono ya mbali 🐒

takwimu hazijadiliwi kwa dhana, kubuni, nadharia, hisia au mihemko kamanda🐒

wacha Mh.Rais achape kazi kwa nafasi wananchi wafurahie matunda ya mipango madhubuti ya serikali sikivu ya CCM 🐒
Unatenda kama robot
 
Maswali chechefu:

1. Je, kwanini Mhe Rais Samia jana aliisifu TPA na kuimwagia minyama kwa "Gawio kubwa ambalo halikuwepo huko nyuma" baada ya kupokea Gawio la Tshs 153.9 Billion toka kwa Mkurugenzi Mkuu, Bw. Mbossa na Mjumbe waBodi, Bw. Minja?

2. Je, Rais hajui kuwa kuna miaka TPA ilikuwa inatoa Gawio mara tatu zaidi ya Gawio hilo kiduchu la jana ?

3. Je, Rais Samia anajua kuwa Desemba 21, 2019, Mhe Isaak Kamwele, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Masiliano, alimchimba mkwara Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Deusdedit Kakoko, kuwa Gawio la Tshs 480 Billion la 2018/19 ni dogo mno, na kumtaka ahakikishe 2019/20 Gawio linafika Tshs Trillion moja vinginevyo atamfukuza kazi?

4. Je, nini kimetokea hadi nchi yetu tunafurahia kupata gawio la mchango ie Tshs 153.9 Bwakati tuliishawahi kujiwekea lengo laTshs Trillion moja?

NUKUU
Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini, Isack Kamwelwe ameitaka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuongeza gawio kwa Serikali kutoka Sh480 bilioni la mwaka 2018/19 hadi Sh1 trilioni mwaka 2019/2020.

Amesema jambo hilo lisipotimia atamfukuza kazi mkurugenzi mkuu wa mamlaka hiyo, Deusdedit Kakoko, Ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Desemba 21, 2019 katika uzinduzi wa bodi mpya ya mamlaka hiyo yenye wajumbe saba ikiongozwa na Profesa Ignas Rubaratuka aliyeteuliwa kwa mara ya pili.
Nafikiri kumbuka kutofautisha,gawio na makusanyo jumla,ninavyo kumbuka gawio liliasisiwa kama sii kuhimizwa na Magu,ila kusanyo jumla ni malengo ya taasisi zile zinazozalisha,tofauti na zilezinazo jiendesha kwa ruzuku kutoka sirikalini🤔
 
CCM ndo ile ile ya kutumia mitutu na silaha za moto kuua na kutesa Ili kuiba kura so hakuna mabadiliko yoyote Yale utasha ngaa huyo mother anarudi tena 2025.
Sijui kama inawezekana Ntu kuuliza uwepo wa ndevu kwenye fuvu la kichwa🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️
 
Nafikiri kumbuka kutofautisha,gawio na makusanyo jumla,ninavyo kumbuka gawio liliasisiwa kama sii kuhimizwa na Magu,ila kusanyo jumla ni malengo ya taasisi zile zinazozalisha,tofauti na zilezinazo jiendesha kwa ruzuku kutoka sirikalini[emoji848]

Unatetea ujinga kwa nguvu sana
 
Nenda kapande SGR, huenda akili ikakukaa sawa
binafsi sichochewi na mihemko bali ukweli mtupu....

na daima siwezi kuvumilia upotoshaji wa aina yoyote kwa viongozi, chama na serikali, hata kama ni dhaifu na wa uongo duni kama huu wako, na daima nita deal nao tu vizuri na kutoa wito kwa jamii wa kupuzwa kwa upotoshaji huo 🐒
 
Flyover, SGR, Nyerere HEP, Mbezi stand, Masoko makubwa yaliyo jengwa katka awamu yake hiyo ilikua ni uchakachuaji? Siyo?
Katka Kipindi Cha miaka 60 ya uhuru Tanzania, deni la Taifa lilikua Trillion 60, na katka hiyo miaka tumekua na Marais Watano tu. Lakini Samia amechukua nchi kwa miaka mitatu tu amekopa trillion 30 na kulipandisha deni la Taifa mpaka kufikia zaidi ya trillion 90.
Je huo nao ni uchakachuaji?

Matendo ya mtu yanaongea yenyewe, Wala siyo kwa kupambwa kwa maneno na uchawa usiyo kuwa na maana.

Mwamba alikua na madhaifu yake, lakini kazi yake ilionekana.
May his soul continue rest in peace 🕊️
 
eti EUNICE amekua kama version mpya ya majoyce nini?🐒
Waliliwekea maspika na motor zile za kwenye feni, linainua mikono kama yale mavijiko ya kuchimbia barabara, kila part ya mwili ina rangi yake. Yaani wali replace yale makamba ya kwenye Joyce WOWOWO na hivyo vimota uchwara. Mdomo umeziba lakini linatoa sauti kupitia speaker zilizowekwa masikioni.
 
Maswali chechefu:

1. Je, kwanini Mhe Rais Samia jana aliisifu TPA na kuimwagia minyama kwa "Gawio kubwa ambalo halikuwepo huko nyuma" baada ya kupokea Gawio la Tshs 153.9 Billion toka kwa Mkurugenzi Mkuu, Bw. Mbossa na Mjumbe waBodi, Bw. Minja?

2. Je, Rais hajui kuwa kuna miaka TPA ilikuwa inatoa Gawio mara tatu zaidi ya Gawio hilo kiduchu la jana ?

3. Je, Rais Samia anajua kuwa Desemba 21, 2019, Mhe Isaak Kamwele, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Masiliano, alimchimba mkwara Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Deusdedit Kakoko, kuwa Gawio la Tshs 480 Billion la 2018/19 ni dogo mno, na kumtaka ahakikishe 2019/20 Gawio linafika Tshs Trillion moja vinginevyo atamfukuza kazi?

4. Je, nini kimetokea hadi nchi yetu tunafurahia kupata gawio la mchango ie Tshs 153.9 Bwakati tuliishawahi kujiwekea lengo laTshs Trillion moja?

NUKUU
Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini, Isack Kamwelwe ameitaka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuongeza gawio kwa Serikali kutoka Sh480 bilioni la mwaka 2018/19 hadi Sh1 trilioni mwaka 2019/2020.

Amesema jambo hilo lisipotimia atamfukuza kazi mkurugenzi mkuu wa mamlaka hiyo, Deusdedit Kakoko, Ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Desemba 21, 2019 katika uzinduzi wa bodi mpya ya mamlaka hiyo yenye wajumbe saba ikiongozwa na Profesa Ignas Rubaratuka aliyeteuliwa kwa mara ya pili.
Good kwa kumbukumbu hizi wale machawa sasa waje tuwaumbue
Hi nchi Ina tatizo kubwa sana

Mapata yasiyo ya Kodi ni makubwa sana yanatosha kuendesha nchi

Lakini yamekaliwa na makada

Alafu raisi anashindwa kuwagusa kwa aibu anakimbilia nje kukopa
 
Flyover, SGR, Nyerere HEP, Mbezi stand, Masoko makubwa yaliyo jengwa katka awamu yake hiyo ilikua ni uchakachuaji? Siyo?
Katka Kipindi Cha miaka 60 ya uhuru Tanzania, deni la Taifa lilikua Trillion 60, na katka hiyo miaka tumekua na Marais Watano tu. Lakini Samia amechukua nchi kwa miaka mitatu tu amekopa trillion 30 na kulipandisha deni la Taifa mpaka kufikia zaidi ya trillion 90.
Je huo nao ni uchakachuaji?

Matendo ya mtu yanaongea yenyewe, Wala siyo kwa kupambwa kwa maneno na uchawa usiyo kuwa na maana.

Mwamba alikua na madhaifu yake, lakini kazi yake ilionekana.
May his soul continue rest in peace 🕊️
Magufuli naye hakuwa na jipya alikuwa anaenda kukopa kimya kimya kujenga sgr
 
Flyover, SGR, Nyerere HEP, Mbezi stand, Masoko makubwa yaliyo jengwa katka awamu yake hiyo ilikua ni uchakachuaji? Siyo?
Katka Kipindi Cha miaka 60 ya uhuru Tanzania, deni la Taifa lilikua Trillion 60, na katka hiyo miaka tumekua na Marais Watano tu. Lakini Samia amechukua nchi kwa miaka mitatu tu amekopa trillion 30 na kulipandisha deni la Taifa mpaka kufikia zaidi ya trillion 90.
Je huo nao ni uchakachuaji?

Matendo ya mtu yanaongea yenyewe, Wala siyo kwa kupambwa kwa maneno na uchawa usiyo kuwa na maana.

Mwamba alikua na madhaifu yake, lakini kazi yake ilionekana.
May his soul continue rest in peace 🕊️
Mkuu, huyo Jamaa ni mmojawapo wa wafoji vyeti na form4 feria
 
Maswali chechefu:

1. Je, kwanini Mhe Rais Samia jana aliisifu TPA na kuimwagia minyama kwa "Gawio kubwa ambalo halikuwepo huko nyuma" baada ya kupokea Gawio la Tshs 153.9 Billion toka kwa Mkurugenzi Mkuu, Bw. Mbossa na Mjumbe waBodi, Bw. Minja?

2. Je, Rais hajui kuwa kuna miaka TPA ilikuwa inatoa Gawio mara tatu zaidi ya Gawio hilo kiduchu la jana ?

3. Je, Rais Samia anajua kuwa Desemba 21, 2019, Mhe Isaak Kamwele, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Masiliano, alimchimba mkwara Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Deusdedit Kakoko, kuwa Gawio la Tshs 480 Billion la 2018/19 ni dogo mno, na kumtaka ahakikishe 2019/20 Gawio linafika Tshs Trillion moja vinginevyo atamfukuza kazi?

4. Je, nini kimetokea hadi nchi yetu tunafurahia kupata gawio la mchango ie Tshs 153.9 Bwakati tuliishawahi kujiwekea lengo laTshs Trillion moja?

NUKUU
Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini, Isack Kamwelwe ameitaka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuongeza gawio kwa Serikali kutoka Sh480 bilioni la mwaka 2018/19 hadi Sh1 trilioni mwaka 2019/2020.

Amesema jambo hilo lisipotimia atamfukuza kazi mkurugenzi mkuu wa mamlaka hiyo, Deusdedit Kakoko, Ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Desemba 21, 2019 katika uzinduzi wa bodi mpya ya mamlaka hiyo yenye wajumbe saba ikiongozwa na Profesa Ignas Rubaratuka aliyeteuliwa kwa mara ya pili.
Etwege unamchukia sana Mama samia, Ila elewa sana Kila kiongozi ana watu wake
 
binafsi sichochewi na mihemko bali ukweli mtupu....

na daima siwezi kuvumilia upotoshaji wa aina yoyote kwa viongozi, chama na serikali, hata kama ni dhaifu na wa uongo duni kama huu wako, na daima nita deal nao tu vizuri na kutoa wito kwa jamii wa kupuzwa kwa upotoshaji huo 🐒
Kiongozi unaojibishana nao umewaacha mbali sana,.....unyumbu tu ndo unawafanya wajifanye hawaelewi.
 
Back
Top Bottom