Rais Samia unadanganywa, DP World hajaleta tija yoyote kwenye Bandari ya Dar es Salaam

Rais Samia unadanganywa, DP World hajaleta tija yoyote kwenye Bandari ya Dar es Salaam

Hii ya Halmashauri kurudisha hela inawezekana kabisa na inachangiwa na vitu vingi. Moja wapo ni uzembe wa viongozi Mkurugenzi au pia hela mnaletewa tarahe 25/6 na tarehe 29/6 saa sita usiku Akaunti zinafungwa zote kupisha ukaguzi na kuanza mwaka mpya wa fedha tarehe 1/7 kuja kufunguliwa Julai mwishoni

Unatetea ujinga sana
 
Flyover, SGR, Nyerere HEP, Mbezi stand, Masoko makubwa yaliyo jengwa katka awamu yake hiyo ilikua ni uchakachuaji? Siyo?
Katka Kipindi Cha miaka 60 ya uhuru Tanzania, deni la Taifa lilikua Trillion 60, na katka hiyo miaka tumekua na Marais Watano tu. Lakini Samia amechukua nchi kwa miaka mitatu tu amekopa trillion 30 na kulipandisha deni la Taifa mpaka kufikia zaidi ya trillion 90.
Je huo nao ni uchakachuaji?

Matendo ya mtu yanaongea yenyewe, Wala siyo kwa kupambwa kwa maneno na uchawa usiyo kuwa na maana.

Mwamba alikua na madhaifu yake, lakini kazi yake ilionekana.
May his soul continue rest in peace 🕊️
Ila Magufuli pamoja na madhaifu yake(ya kutufanya tuiogope Serikali 'intimidation') mwamba alifanya vitu tangible kabisa!Imagine Magufuli angetupa na ujasiri(yeye alidili kutupa power watu wa chini ya kuwashurutisha wafanyakaz wa umma pale wanapoacha kuwajibika)
Hii ya Halmashauri kurudisha hela inawezekana kabisa na inachangiwa na vitu vingi. Moja wapo ni uzembe wa viongozi Mkurugenzi au pia hela mnaletewa tarahe 25/6 na tarehe 29/6 saa sita usiku Akaunti zinafungwa zote kupisha ukaguzi na kuanza mwaka mpya wa fedha tarehe 1/7 kuja kufunguliwa Julai mwishoni
nimekuelewa vzuri Mr Tutor
 
Una ujinga
ieleweke bayana kwamba hakuna upotoshaji wowote utaachwa wala kuvumiliwa dhidi ya ukweli halisi....

uhemke, ughadhabike, ukasirike, utukane au ufanyaje but lazima tuweke record vizuri, polepole na kwa upendo wa dhati kabisa juu ya upotoshaj wa aina yoyote ile :pulpTRAVOLTA:
 
Kwanza unaex
Ni kitu kinachotukwamisha, upigaji, ufisadi, wizi na ujambazi kwenye mali za umma.

Muna soko la Metric tonnes 20 Million za mizigo ya DRC, Zambia, Malawi, Burundi na Rwanda na Uganda, lakini mnaweza kupata Metric tonnes 8 Millioni tu. Nyingine zote zinakwenda Mombasa, Beira na Durban. Bado mnashindwa tatizo ni uongozi, usimamizi, msimamiaji.

Mtu mweusi hakuna anachoweza, labda pombe na ngono!
Ufumbuzi sio kugawa mali za nchi kwa wageni. Serikali ilipaswa kuajiri menejimenti toka nje ya nchi na kawalipa mishahara minono lakini wakatuzalishia na faida yote ikawa ya kwetu kama nchi.

Pili hizo takwimu za mizigo sio hakika kuwa lqzima wapitishe hapa kwetu. Nchi hizo haziwezi kurisk kwa kupitisha mizigo yote bandari moja kwa sababu ikitokea hanelewani ni hatari kwa hizo nchi hivyo lazima wadiversify kwa kupitisha baadhi ya mizigo bandari tofauti. Tatu gharama za DSM ziko juu kulinganisha na za huko katika bandari zingine, lakini vile vile hizo bandari kama Durba na Mombasa wana mikakati pia ya kuvutia nchi zisizo na bandari ili zipitishie nizigo huko. Kwaxkupunguza gharama na kuongeza ufanisi.

DP WORLD sio solution bali ni tatizo.
 
Uko sahihi
 
Hiki siyo kipindi cha kuchakachua TAKWIMU. Enzi za Mwendazake hata TTCL walikuwa wanatoa Gawio la Tsh 2.0 Billion halafu next month wanaomba dhamana ya serekali kwenye mkopo wa Tsh 300 Bilioni ili waboreshe mitambo.

Ni bora upeleke gawio dogo lakini la ukweli kuliko USANII wa Waziri Kindamba na Magufuli mwaka 2019
Wewe ni mwongo, ulikuwa humpendi tu JPM, pamoja na kuwa critical sana kwa JPM kuhusu human rights, ufanisi ulikuwepo, alikopa au aliiba, au sijui alifanya nini Takwimu lakini Vision yake na accountability sikuwa na doubts. Watu kama nyie inawezekaka mna dhambi zenu nyingine.
 
Magufuli naye hakuwa na jipya alikuwa anaenda kukopa kimya kimya kujenga sgr
Kwahio alijenga ? Sio kukopa na kupotelea sijui God knows where au kuminya wananchi na Matozo bila kuona value for money
 
Hivi tunavyowapa hao wageni wao vya kwao anaendesha nani? Nao wamebinafsisha? Tuache hii dhana ya kuona wao ndio wanaweza.
 
Back
Top Bottom