johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Gawio= Dividend + MichangoMuhuni yule aliyopokea gawio kutoka ATC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gawio= Dividend + MichangoMuhuni yule aliyopokea gawio kutoka ATC
Kuliko wizi na uzembe ambao wafanyakazi wa TPA wamekuwa wakifanya, ni bora tu hao DP WORLD waje na wapewe malengo ya makusanyo.Unadhani DP wodi watakuwa na uchungu na Bandari yetu? Wao nao wapo kazini kupambania Familia zao kupitia kampuni yao. Hapo sisi tunakuwa watatu
Inaanza kampuni DPW
Familia za wana DPW
Watufikirie sie kwa kidogo wanachopata.
TRA nayo ibinafsishwe walau ushuru wa magari upungue. Apewe mjapani hii TRA
Yupo mdau anasema unatenda kama roboti😅Unatetea ujinga kwa nguvu sana
"Kuwa chawa siyo tiketi ya Kuwa mpumbavu"Hebu tumtendee haki Samia hata kama hatumpendi. Unasema huoni mikopo inafanya nini? Yaani miaka 3 Treni ya SGR na Bwawa la umeme vimekamilika ambavyo Magufuli Olivia aliviacha vikiwa chini ya 30%.
Watanzania kwa chuki ni hatari
Gawio= Dividend , naona uliamua kubadili lugha tuGawio= Dividend + Michango
Nimekupa tafsiri ya serikalini yaani ki public finance zaidi 😀Gawio= Dividend , naona uliamua kubadili lugha tu
Marehemu Magufuli tunamlaumu kwa baadhi ya mambo ambayo angeweza kuyaepuka.Flyover, SGR, Nyerere HEP, Mbezi stand, Masoko makubwa yaliyo jengwa katka awamu yake hiyo ilikua ni uchakachuaji? Siyo?
Katka Kipindi Cha miaka 60 ya uhuru Tanzania, deni la Taifa lilikua Trillion 60, na katka hiyo miaka tumekua na Marais Watano tu. Lakini Samia amechukua nchi kwa miaka mitatu tu amekopa trillion 30 na kulipandisha deni la Taifa mpaka kufikia zaidi ya trillion 90.
Je huo nao ni uchakachuaji?
Matendo ya mtu yanaongea yenyewe, Wala siyo kwa kupambwa kwa maneno na uchawa usiyo kuwa na maana.
Mwamba alikua na madhaifu yake, lakini kazi yake ilionekana.
May his soul continue rest in peace [emoji2731]
Mama yako samia ndio amekuja kuthibitisha kwa vitendo kabisa hii kauli... kwamba mtu mweusi hakuna anachoweza kufanya kwa ufanisi hapa dunianj zaidi ya anasa na wizi... na ndio maana kaamua kuwakabidhi rasilimali za nchi binadamu wenzake kutoka mataifa mengine wenye milango ya fahamu sawa na yeye wamuendeshee rasilimali hizo huku yeye wakimgawia kidogo ya kile kitakachopatikana na huku nyie machawa wake mkimpamba na kumsifia kwa kila jambo analofanya hata akijampa.Bado mnashindwa tatizo ni uongozi, usimamizi, msimamiaji.
Mtu mweusi hakuna anachoweza, labda pombe na ngono!
Uko na akili mingi sana ambazo hazijafunikwa na uroho wa kulamba asali.Marehemu Magufuli tunamlaumu kwa baadhi ya mambo ambayo angeweza kuyaepuka.
LAKINI
Kwa kweli kuna mambo mazuri ameyafanyia Taifa hili. Yaani ukikosa kukiri kuwa kuna mazuri marehemu Magufuli aliyafanya, utakuwa na tatizo.
Lisu, pamoja na kufanyiwa aliyofanyiwa, LAKINI alikiri pia kuwa marehemu katika masuala ya mali za asili kuwa eti mchakato wa kuzipora bandari ulianza wakati wake, alikataa kabisa, na kusema kuwa, tena marehemu alipenda sana kila kitu tufanye wenyewe.
Mimi naamini makosa ambayo Magufuli aliyafanya, siyo kwa sababu ya kukosa uzalendo, bali alikuwa too ambitious, na ingekuwa inawezekana, alitamani Tanzania iwe bora kuliko nchi yoyote Duniani. Na hivyo kwa yeyote aliyehisi kuwa labda anamfanya asizifikie ambitions zake, basi aliweza kumtendea uovu wowote. Kama ambitions zake angezifanyia integrations sahihi na masuala mengine muhimu kwenye uongozi, angefanikiwa sana, na kuwa wa mfano.
Msalimie mama tibaijuka hapo makongo juu,Nimekupa tafsiri ya serikalini yaani ki public finance zaidi 😀
Marehemu gani ameteuliwa mkuu?Hata kuteua marehemu ni kuchapakazi?
Mitano tena
Hii ya Halmashauri kurudisha hela inawezekana kabisa na inachangiwa na vitu vingi. Moja wapo ni uzembe wa viongozi Mkurugenzi au pia hela mnaletewa tarahe 25/6 na tarehe 29/6 saa sita usiku Akaunti zinafungwa zote kupisha ukaguzi na kuanza mwaka mpya wa fedha tarehe 1/7 kuja kufunguliwa Julai mwishonikiongozi usishangae kuona hilo ni kweli walikuwa wanatoa gawio hilo na baadae wanaomba!Sasa kama halmashauri zinarudisha hela Serikali kuu yaan zinaletewa zikiwa zimeomba zenyewe halaf baadae zinarudisha utashangaa hilo la TRA tena wakati ule!?😂

binafsi sichochewi na mihemko bali ukweli mtupu....
na daima siwezi kuvumilia upotoshaji wa aina yoyote kwa viongozi, chama na serikali, hata kama ni dhaifu na wa uongo duni kama huu wako, na daima nita deal nao tu vizuri na kutoa wito kwa jamii wa kupuzwa kwa upotoshaji huo [emoji205]