Rais Samia unadanganywa, DP World hajaleta tija yoyote kwenye Bandari ya Dar es Salaam

Maswali chechefu:

1. Je, kwanini Mhe Rais Samia jana aliisifu TPA na kuimwagia minyama kwa "Gawio kubwa ambalo halikuwepo huko nyuma" baada ya kupokea Gawio la Tshs 153.9 Billion toka kwa Mkurugenzi Mkuu, Bw. Mbossa na Mjumbe waBodi, Bw. Minja?

2. Je, Rais hajui kuwa kuna miaka TPA ilikuwa inatoa Gawio mara tatu zaidi ya Gawio hilo kiduchu la jana ?

3. Je, Rais Samia anajua kuwa Desemba 21, 2019, Mhe Isaak Kamwele, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Masiliano, alimchimba mkwara Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Deusdedit Kakoko, kuwa Gawio la Tshs 480 Billion la 2018/19 ni dogo mno, na kumtaka ahakikishe 2019/20 Gawio linafika Tshs Trillion moja vinginevyo atamfukuza kazi?

4. Je, nini kimetokea hadi nchi yetu tunafurahia kupata gawio la mchango ie Tshs 153.9 Bwakati tuliishawahi kujiwekea lengo laTshs Trillion moja?

NUKUU
Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini, Isack Kamwelwe ameitaka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuongeza gawio kwa Serikali kutoka Sh480 bilioni la mwaka 2018/19 hadi Sh1 trilioni mwaka 2019/2020.

Amesema jambo hilo lisipotimia atamfukuza kazi mkurugenzi mkuu wa mamlaka hiyo, Deusdedit Kakoko, Ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Desemba 21, 2019 katika uzinduzi wa bodi mpya ya mamlaka hiyo yenye wajumbe saba ikiongozwa na Profesa Ignas Rubaratuka aliyeteuliwa kwa mara ya pili.
Unajua wanatuona watanzania wote wajinga sana. Kwanza naamini DP haihusiki na kipindi cha utendaji kwa gawio hili linatoka kwani hadi march2024 mwaka huu naamini walikua bado kuanza kuendesha bandari. Gawio hilo ni mfano tu jinsi DP wataiua bandari kwa kupora wao faida ya uwekezaji wa miaka mingi wa fedha za umma. La kusikitisha ni jinsi serikali inajidai hatuna wenyewe uwezo wa kuendesha bandari kwani kuna watu binafsi wenye maslahi kutoa bandari zetu na mali zingine za taifa kuendeshwa na watu binafsi. Hawa ni wahaini inapaswa wananchi kupigana waondoke kuongoza taifa.
 
Hiki siyo kipindi cha kuchakachua TAKWIMU. Enzi za Mwendazake hata TTCL walikuwa wanatoa Gawio la Tsh 2.0 Billion halafu next month wanaomba dhamana ya serekali kwenye mkopo wa Tsh 300 Bilioni ili waboreshe mitambo.

Ni bora upeleke gawio dogo lakini la ukweli kuliko USANII wa Waziri Kindamba na Magufuli mwaka 2019
kiongozi usishangae kuona hilo ni kweli walikuwa wanatoa gawio hilo na baadae wanaomba!Sasa kama halmashauri zinarudisha hela Serikali kuu yaan zinaletewa zikiwa zimeomba zenyewe halaf baadae zinarudisha utashangaa hilo la TRA tena wakati ule!?😂
 
Waliliwekea maspika na motor zile za kwenye feni, linainua mikono kama yale mavijiko ya kuchimbia barabara, kila part ya mwili ina rangi yake. Yaani wali replace yale makamba ya kwenye Joyce WOWOWO na hivyo vimota uchwara. Mdomo umeziba lakini linatoa sauti kupitia speaker zilizowekwa masikioni.
sawa gentleman..
concern yako itazingatiwa, next time itakua ya level nyingine kabisa... na hakika hutaifananisha tena na hayo majoyce nini sijui 🐒
 
TPA) kuongeza gawio kwa Serikali kutoka Sh480 bilioni la mwaka 2018/19 hadi Sh1 trilioni mwaka 2019/2020.
Mimi Sio timu Samia lakini napenda kusema Katika marais waliokuwa wanafeki mambo ni Jiwe. Hata yale magawiwo ya Jiwe yamkini yalikuwa feki. Mashirika ya Umma ambayo tunajua kabisa yalikuwa hayatengenezi faida kama Air Tanzania, posta, Tira,... Na yao eti yalikuwa yanapeleka gawiwo 🤔
 
Maswali chechefu:

1. Je, kwanini Mhe Rais Samia jana aliisifu TPA na kuimwagia minyama kwa "Gawio kubwa ambalo halikuwepo huko nyuma" baada ya kupokea Gawio la Tshs 153.9 Billion toka kwa Mkurugenzi Mkuu, Bw. Mbossa na Mjumbe waBodi, Bw. Minja?

2. Je, Rais hajui kuwa kuna miaka TPA ilikuwa inatoa Gawio mara tatu zaidi ya Gawio hilo kiduchu la jana ?

3. Je, Rais Samia anajua kuwa Desemba 21, 2019, Mhe Isaak Kamwele, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Masiliano, alimchimba mkwara Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Deusdedit Kakoko, kuwa Gawio la Tshs 480 Billion la 2018/19 ni dogo mno, na kumtaka ahakikishe 2019/20 Gawio linafika Tshs Trillion moja vinginevyo atamfukuza kazi?

4. Je, nini kimetokea hadi nchi yetu tunafurahia kupata gawio la mchango ie Tshs 153.9 Bwakati tuliishawahi kujiwekea lengo laTshs Trillion moja?

NUKUU
Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini, Isack Kamwelwe ameitaka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuongeza gawio kwa Serikali kutoka Sh480 bilioni la mwaka 2018/19 hadi Sh1 trilioni mwaka 2019/2020.

Amesema jambo hilo lisipotimia atamfukuza kazi mkurugenzi mkuu wa mamlaka hiyo, Deusdedit Kakoko, Ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Desemba 21, 2019 katika uzinduzi wa bodi mpya ya mamlaka hiyo yenye wajumbe saba ikiongozwa na Profesa Ignas Rubaratuka aliyeteuliwa kwa mara ya pili.
Mama ANAUPIGA MWINGI mpaka vitukuu vyetu vitadaiwa
 
Anadanganywa au anajidanganya? Kwani DPW si kaileta yeye na mwanae Abdul?
 
Magufuli naye hakuwa na jipya alikuwa anaenda kukopa kimya kimya kujenga sgr
Hakuna nchi ambayo haiendeshwi bila mikopo.
Swali Je! Hiyo mikopo inawanufaisha vipi Wananchi? Kuanzia swala zima la kuwarahisishia maisha ikiwemo kuwaboreshea Miundombinu, kuwajengea vituo vya Afya pamoja na Elimu.
Magufuri alikopa lakini tuliona kazi ya mikopo aliyo kopa. Sasa Leo huyu anakopa alfu pesa inaishia kwa mafsadi , ugumu wa maisha ndo unazidi kuongezeka, kazi ya mikopo haionekani, so ni lazima tushangae na kuhoji mikopo ni ya kazi gani ikiwa kazi yake haionekani?
 
Mama kudanganywa mbona kawaida we unashangaa mkuu?!.
Halafu wakishamdanganya wanamsifia na ye ana enjoyyy!.
 
Watanganyika msipofanya maamuzi sahihi mwakani ya kumuondoa huyu bibi wa kizanzibari taifa lenu litaingia kwenye kipindi kigumu sana huko mbeleni...Tanzania haijawahi kuwa na raisi asiyekuwa na uzalendo hata kidogo kama huyu tuliye nae sasa. Na nyie machawa endeleeni kumpamba tu kisa mnaokota hivyo visenti vyenu kwenye mabilioni yanayoibiwa kila siku, ila athari za huu uongozi dhaifu utazikumba mpaka vizazi vyenu
 
Nilijua lazima dp watupige km viongozi wenyewe wana akili km za nawanda wana waza vinyeo tu unafikiri ni nn
 
Hakuna nchi ambayo haiendeshwi bila mikopo.
Swali Je! Hiyo mikopo inawanufaisha vipi Wananchi? Kuanzia swala zima la kuwarahisishia maisha ikiwemo kuwaboreshea Miundombinu, kuwajengea vituo vya Afya pamoja na Elimu.
Magufuri alikopa lakini tuliona kazi ya mikopo aliyo kopa. Sasa Leo huyu anakopa alfu pesa inaishia kwa mafsadi , ugumu wa maisha ndo unazidi kuongezeka, kazi ya mikopo haionekani, so ni lazima tushangae na kuhoji mikopo ni ya kazi gani ikiwa kazi yake haionekani?
Wasichokielewa hawa machawa ni kwamba hakuna ambaye analalamikia mikopo, maana maisha bila mikopo hayaendi hata china wenyewe ambao leo ndio wakopeshaji wakuu hapa duniani walikopa sana miaka ya 70s na 80s, ila mikopo hiyo waliitumia vizuri kabisa ikatimiza malengo kusudiwa ambayo ni kujenga taifa lao kwa kasi.

Sasa leo hii huyu bibi wa kizanzibar anazunguka kukopa kila mahali, kila kukicha... halafu kwenye bajeti tunakuja kuambiwa eti trillion 10 zinaenda kwenye matumizi ya kawaida wakati huo billion 500 pekee ndio zinaenda kwenye miradi ya maendeleo, yaani ni kama vile anakopa hili pesa hizo zije zitumike kwenye matumizi ya kawaida ambayo hata hayawekwi wazi, halafu wanataka tumpigie makofi,..si ni ukumma huo?
 
Maswali chechefu:

1. Je, kwanini Mhe Rais Samia jana aliisifu TPA na kuimwagia minyama kwa "Gawio kubwa ambalo halikuwepo huko nyuma" baada ya kupokea Gawio la Tshs 153.9 Billion toka kwa Mkurugenzi Mkuu, Bw. Mbossa na Mjumbe waBodi, Bw. Minja?

2. Je, Rais hajui kuwa kuna miaka TPA ilikuwa inatoa Gawio mara tatu zaidi ya Gawio hilo kiduchu la jana ?

3. Je, Rais Samia anajua kuwa Desemba 21, 2019, Mhe Isaak Kamwele, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Masiliano, alimchimba mkwara Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Deusdedit Kakoko, kuwa Gawio la Tshs 480 Billion la 2018/19 ni dogo mno, na kumtaka ahakikishe 2019/20 Gawio linafika Tshs Trillion moja vinginevyo atamfukuza kazi?

4. Je, nini kimetokea hadi nchi yetu tunafurahia kupata gawio la mchango ie Tshs 153.9 Bwakati tuliishawahi kujiwekea lengo laTshs Trillion moja?

NUKUU
Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini, Isack Kamwelwe ameitaka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuongeza gawio kwa Serikali kutoka Sh480 bilioni la mwaka 2018/19 hadi Sh1 trilioni mwaka 2019/2020.

Amesema jambo hilo lisipotimia atamfukuza kazi mkurugenzi mkuu wa mamlaka hiyo, Deusdedit Kakoko, Ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Desemba 21, 2019 katika uzinduzi wa bodi mpya ya mamlaka hiyo yenye wajumbe saba ikiongozwa na Profesa Ignas Rubaratuka aliyeteuliwa kwa mara ya pili.
Yani yeye ndio awalete DP world halafu useme anadanganywa,wewe ni takataka kabisa....yani takataka
 
Sasa Leo huyu anakopa alfu pesa inaishia kwa mafsadi , ugumu wa maisha ndo unazidi kuongezeka, kazi ya mikopo haionekani, so ni lazima tushangae na kuhoji mikopo ni ya kazi gani ikiwa kazi yake haionekani?
Hebu tumtendee haki Samia hata kama hatumpendi. Unasema huoni mikopo inafanya nini? Yaani miaka 3 Treni ya SGR na Bwawa la umeme vimekamilika ambavyo Magufuli Olivia aliviacha vikiwa chini ya 30%.

Watanzania kwa chuki ni hatari
 
Maswali chechefu:

1. Je, kwanini Mhe Rais Samia jana aliisifu TPA na kuimwagia minyama kwa "Gawio kubwa ambalo halikuwepo huko nyuma" baada ya kupokea Gawio la Tshs 153.9 Billion toka kwa Mkurugenzi Mkuu, Bw. Mbossa na Mjumbe waBodi, Bw. Minja?

2. Je, Rais hajui kuwa kuna miaka TPA ilikuwa inatoa Gawio mara tatu zaidi ya Gawio hilo kiduchu la jana ?

3. Je, Rais Samia anajua kuwa Desemba 21, 2019, Mhe Isaak Kamwele, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Masiliano, alimchimba mkwara Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Deusdedit Kakoko, kuwa Gawio la Tshs 480 Billion la 2018/19 ni dogo mno, na kumtaka ahakikishe 2019/20 Gawio linafika Tshs Trillion moja vinginevyo atamfukuza kazi?

4. Je, nini kimetokea hadi nchi yetu tunafurahia kupata gawio la mchango ie Tshs 153.9 Bwakati tuliishawahi kujiwekea lengo laTshs Trillion moja?

NUKUU
Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini, Isack Kamwelwe ameitaka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuongeza gawio kwa Serikali kutoka Sh480 bilioni la mwaka 2018/19 hadi Sh1 trilioni mwaka 2019/2020.

Amesema jambo hilo lisipotimia atamfukuza kazi mkurugenzi mkuu wa mamlaka hiyo, Deusdedit Kakoko, Ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Desemba 21, 2019 katika uzinduzi wa bodi mpya ya mamlaka hiyo yenye wajumbe saba ikiongozwa na Profesa Ignas Rubaratuka aliyeteuliwa kwa mara ya pili.
KWA HERUFI KUBWA: KUBINAFSISGA BANDARI KWA DP WORLD NI MAKOSA MAKUBWA YA KIHSTORIA. HAKUNA MANUFAA YEYOTE MAKUBWA KULIKO TULIYOKUWA TUKIPATA KABLA YA UBINAFSISHAJI.
DP WORLD WAONDOLEWE IWE LEO, KESHO AU KESHOKUTWA LAKINI HAWATAKIWI KUWEPO.
 
Enzi za mwendazake kila kitu kilikuwa sanaa, tulishaambiwa ATC inapata faida na kutoa gawio
 
KWA HERUFI KUBWA: KUBINAFSISGA BANDARI KWA DP WORLD NI MAKOSA MAKUBWA YA KIHSTORIA. HAKUNA MANUFAA YEYOTE MAKUBWA KULIKO TULIYOKUWA TUKIPATA KABLA YA UBINAFSISHAJI.
DP WORLD WAONDOLEWE IWE LEO, KESHO AU KESHOKUTWA LAKINI HAWATAKIWI KUWEPO.
Ni kitu kinachotukwamisha, upigaji, ufisadi, wizi na ujambazi kwenye mali za umma.

Muna soko la Metric tonnes 20 Million za mizigo ya DRC, Zambia, Malawi, Burundi na Rwanda na Uganda, lakini mnaweza kupata Metric tonnes 8 Millioni tu. Nyingine zote zinakwenda Mombasa, Beira na Durban. Bado mnashindwa tatizo ni uongozi, usimamizi, msimamiaji.

Mtu mweusi hakuna anachoweza, labda pombe na ngono!
 
Unadhani DP wodi watakuwa na uchungu na Bandari yetu? Wao nao wapo kazini kupambania Familia zao kupitia kampuni yao. Hapo sisi tunakuwa watatu
Inaanza kampuni DPW
Familia za wana DPW

Watufikirie sie kwa kidogo wanachopata.
TRA nayo ibinafsishwe walau ushuru wa magari upungue. Apewe mjapani hii TRA
 
Back
Top Bottom