Rais Samia unadanganywa, DP World hajaleta tija yoyote kwenye Bandari ya Dar es Salaam


Unatetea ujinga sana
 
Ila Magufuli pamoja na madhaifu yake(ya kutufanya tuiogope Serikali 'intimidation') mwamba alifanya vitu tangible kabisa!Imagine Magufuli angetupa na ujasiri(yeye alidili kutupa power watu wa chini ya kuwashurutisha wafanyakaz wa umma pale wanapoacha kuwajibika)
nimekuelewa vzuri Mr Tutor
 
Una ujinga
ieleweke bayana kwamba hakuna upotoshaji wowote utaachwa wala kuvumiliwa dhidi ya ukweli halisi....

uhemke, ughadhabike, ukasirike, utukane au ufanyaje but lazima tuweke record vizuri, polepole na kwa upendo wa dhati kabisa juu ya upotoshaj wa aina yoyote ile
 
Kwanza unaex Ufumbuzi sio kugawa mali za nchi kwa wageni. Serikali ilipaswa kuajiri menejimenti toka nje ya nchi na kawalipa mishahara minono lakini wakatuzalishia na faida yote ikawa ya kwetu kama nchi.

Pili hizo takwimu za mizigo sio hakika kuwa lqzima wapitishe hapa kwetu. Nchi hizo haziwezi kurisk kwa kupitisha mizigo yote bandari moja kwa sababu ikitokea hanelewani ni hatari kwa hizo nchi hivyo lazima wadiversify kwa kupitisha baadhi ya mizigo bandari tofauti. Tatu gharama za DSM ziko juu kulinganisha na za huko katika bandari zingine, lakini vile vile hizo bandari kama Durba na Mombasa wana mikakati pia ya kuvutia nchi zisizo na bandari ili zipitishie nizigo huko. Kwaxkupunguza gharama na kuongeza ufanisi.

DP WORLD sio solution bali ni tatizo.
 

Uko sahihi
 
Wewe ni mwongo, ulikuwa humpendi tu JPM, pamoja na kuwa critical sana kwa JPM kuhusu human rights, ufanisi ulikuwepo, alikopa au aliiba, au sijui alifanya nini Takwimu lakini Vision yake na accountability sikuwa na doubts. Watu kama nyie inawezekaka mna dhambi zenu nyingine.
 
Magufuli naye hakuwa na jipya alikuwa anaenda kukopa kimya kimya kujenga sgr
Kwahio alijenga ? Sio kukopa na kupotelea sijui God knows where au kuminya wananchi na Matozo bila kuona value for money
 
Hivi tunavyowapa hao wageni wao vya kwao anaendesha nani? Nao wamebinafsisha? Tuache hii dhana ya kuona wao ndio wanaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…