mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Tatizo kufukia hela baada ya miaka 3 na kuendelea ndo uje uzifukue hapo ndipo mtiti unaanzia.
Yaani maoni haya unanikumbusha Kuna Rais wa hapa Tanzania aliwahi unganisha wizara ya kilimo na wizara. Ya maliasili na utalii ,sijui Nia yake ilikuwa nini Kama ukichunguza benki za nje nyingi zilizopo hapa Tanzania zinafuatilia sana wafanyakilimo wa dengu,korosho,ukwaju,u buyu na wanatoa mikopo kwa wale wanoweza tengeneza add value chàin kama kina mo,Manji nk mtu kama mo avac ya korosho akiitikisa tu tunatafutana hapa tz mpaka jeshi linatumika kubangua korosho lakini ujanja wote mtaalamu wake kamtoa wizara kilimo naye ni Mshindo Msola,ukijiuliza Kwanini Msola serikali ilimwacha unakuta ni SIASA chafu.