Rais Samia, unapotulalamikia sisi kuwa kinachokusanywa kama kodi kinaibiwa, je unataka sisi tufanyaje? Wewe si ndio Rais

Rais Samia, unapotulalamikia sisi kuwa kinachokusanywa kama kodi kinaibiwa, je unataka sisi tufanyaje? Wewe si ndio Rais

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Kuna mambo yanasikitisha kwenye Taifa la TZ Na bila katiba mpya hatutotoboa.

Katiba ya mchongo imekupa power ya kufanya chochote yet unasimama mbele za watu na kutuambia kinachokusanywa kinaingia kwenye mifuko ya watu , wengine hawalipi kodi ; wewe kama Rais unalalamika, je wananchi wakusaidiaje?

Tukusaidie majukumu yako?

Mshahara wa mil 100 na ushee kwa mwezi na perdiem ya 10 M with benefits unazokula, malipo yote hayo ni kwa ajili ya kutupa info au kuchukua action penye madhaifu?

I expected rais uje na action words , Nimefanya moja mbili tatu baada ya kubaini asilimia kubwa ya kinachokusanywa kinaingia mifukoni kwa watu . Badala yake Rais nae anageuka kuwa Millard Ayo , just info with no action.

Juzi nilimsikia Majaliwa nae akitoa info kuhusu maafisa waliopiga hela , just info with no action . Jamaa wanakula national keki kweli kweli but kazi yao kubwa wanayofanya haina tofauti na Millard ayo.

Utaona action zao pale watu wanapotaka kuandamana, Ila kulinda mali za nchi aaah !

2025 watanzania msizingue, MOST of CCM akiwemo yeye hawalipi kodi lakini wanawabana nyie mlipe. CCM wakitaka kutoa mizigo yao bandarini ni wanapiga simu tu tena hata watoto wa viongozi wa juu ikiwemo wanae ndio kabisa hawalipi kodi.

Pesa zote za kodi zinazolipwa na raia mnaenda nunua mashangingi, safari za nje za Rais zinakula billions of money , watu wanalipa kodi but ukiangalia miradi ya barabara hapo hapo Dar mjini tangu 2020 haijawahi kukamilika.vikilomita vichache tu vinachukua miaka 4 na hakuna anaefuatilia utekelezaji, kuna ufisadi mkubwa sana sana kwenye ujenzi wa hizo barabara za mwendokasi zinazojengwa mji mzima na zisizokamilika mwaka wa 4 sasa.

TAKUKURU ni kama pambio kwenye nchi , muafrica wa Africa hajawahi kuwa mtu makini. For as long as matumbo yao na familia zao wanakula benefit zote and thinking they are better than others, kwao inatosha.

Black people have no legecy, kazi yao kubwa ni kuiba fedha, kuoa wanawake wengi, na kufanya shopping za nje . That is all they have. Shame

#Katibampya # mandatory #CCM Out #UkomboziwaTaifa #2025#Samia hana uwezo wa Usimamizi wa mali za nchi, # Maamuzi ni 2025. # Taifa limeyumba na kupoteza dira
 
Mentality ya viongozi wa imani ya kiislamu ni kutochukiwa na watu..ukiwa kiongozi wewe piga domo tu, unda tume kusahaulisha unaowaongoza ili muda upite wasahau..hawawezi kuchukua hatua! wanaogopa watachukukiwa! pengine imani yao ndivyo inavyowafundisha..! anzia maDC wote mentality ni hii..lkn kwa aina ya watu wa nchi hii walivyo km unaogopa kuchukiwa na watu..bora usiwe kiongozi..Acha wanaoweza kuchukua hatua kushughulika na wahuni wawe viongozi! uongozi si kula na kusifiwa au kugawana vyeo kuweka uwiano kidini au kikabila..uongozi ni kujitoa sadaka kwa ajili ya wengine..
 
Hajui majukumu YAKE.
Na ss wateule wake wana msemo wao UIBE USI IBE lazima utatenguliwa ni Bora KUIBA TU.

All the best.
 
Back
Top Bottom