Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Yaani Tanzania ni banana republic.
Leo weekend nimetulia nasoma habari za Tanzania, nkakutana na kituko Cha Karne.
Rose Manumba DED wa Msalala-Shinyanga, halmashauri yake imepata hati chafu Kwa miaka miwili mfululizo, mwaka huu eti wakaguzi kutoka wilayani, walizuiwa na huyo Kibaka Rose wasiingie kukagua halmashauri yake.
Ingekuwa hapa Marekani huyo kibaka asingekuwa ofisini. Nimeambiwa anafanya hayo Kwa sababu baba yake alikuwa DCI.
Tanzania hamtopata maendeleo Kwa kuongozwa na hao vibaka. Mtu anaiba pesa, ata vitoto vya ajira mpya havipi ata pesa za kujikimu, watumishi eti hawapi pesa za likizo, mgodi wa Barrick anawaomba rushwa Kila siku, watumishi mpaka wamuonge hela Ili wahame. Barbara uko naskia ni vumbi tupu, wakati Kuna mgodi wa Barrick Gold.
Nyie wasukuma fukuzeni huyu kibaka Rose Manumba ndo mkoa wenu utapata maendeleo.
Mto wa mbu
Illinois-USA