Rais Samia unatupa wakati mgumu wanachama wa CCM

Samia tunae na tunatamba nae kama hutaki kajinyonge kwa big G.
 
Mleta mada anaweza kutwezwa kwa hoja yake, lakini watu watamwelewa baada ya uchaguzi.

Rais Samia ana disadvantages nyingi:
Jinsia yake:
1. Kwa desturi za Kiafrika, mwanaume kuongozwa au kutawaliwa na mwanamke ni fedheha na dharau kubwa.

2. Biblia inatamka kuwa mwanaume ndiye kiongozi wa familia, na kwamba mwanaume ni kichwa cha mwanamke.

3. Kwa waislam, ndiyo kabisa!! Mwanamke hawezi kuwa kiongozi. Huko Afganstan marufuku hata kwenda shule, nchi za kiarabu mwanamke haruhusiwi hata kuendesha gari; ushahidi wa mwanaume mmoja ni sawa na ushahidi wa wanawake watatu.

Uzanzibari wake na Yale aliyoyafanya dhidi ya Tanganyika
1. Yale mabaya aliyoyafanya dhidi ya Tanganyika kama vile kuziingiza bandari za Tanganyika kwenye mkataba tata DPW, lakini akazilinda bandari za Zanzibar.

2. Kuwajaza wazanzibari kwenye nafasi za uongozi ambazo siyo za Muungano.

3. Kuzipora mbuga za wanyama na hifadhi za misitu, na kuwagawia waarabu.

4. Kuitumia Tanganyika kuineemesha Zanzibar, kama vile kuongeza mgao wa Zanzibar kwa pesa zote za misaada na mikopo inayochukuliwa na Tanzania.

Advantage pekee aliyo nayo ni kuwa mgombea wa CCM, chama ambacho kimevifanya vyombo vya ulinzi na usalama kuwa idara za chama.
 
Kati ya Hillary Clinton na Trump nani alikuwa na CV kubwa ya uongozi??
 
Ingekuwa ni mama yako usingeandika hivi?
 
Wewe maku hujalazimishwa umchague Mama Samia. Kampigie kura Hashim Rungwe kama unaangalia jinsia.
 
Samia tunae na tunatamba nae kama hutaki kajinyonge kwa big G.
Issue ni Hoja Ndugu zangu wa CCM sio tu tunapamba nae … Hayati Magufuli alimaliza kelele za Chadema kwa utekelezaji pamoja na mspungufu yake ambayo kila mtu anayajua. USHABIKI NDO UMEHARIBU UCHAGUZI DODOMA …. CCM ina watu madhubuti lakini mnachagua 😞
 
kwamaana hyo Wasira ni hazina ya Taifa si ndio Bw/Bi.
 
Unataka kusema wasira ni mtoto wa Nyerere 😂
 
Mwanamke hana maamuzi. Mwanamke ni kiumbe dhaifu sana. Anafanya maamuzi kwa hisia bila kutumia akili.
 
Wewe ni mpumbavu sana. Ningekuunga mkono kama ungetaja mapungufu ya mama samia ambayo yapo wazi lakini si kumpinga kwasababu ya uanamke wake. Punguani mkubwa wewe...
Punguza mihemko, mwandiko wako pia unaweza kutambulisha kipimo chako cha ujinga. Yaani Samia bila kutokea kifo cha mwendazake kwa jinsia yake angeweza diriki hata kuchukuwa form ya kugombea Urais wa JMT? Kwa uwezo gani kwa mfano....?? Au unadhani ni rahisi kama unavyotambaa na keyboard yako ya Itel?? Idiot....siyo kila uzi ni lazima uchangie pumbavu na nusu kabisa wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…