Rais Samia unatupa wakati mgumu wanachama wa CCM

Mungu umkunjulia ridhiki amtakaye!
 
Sijawahi sikia Wala kusoma haya unayoongea kwenye Utawala huu wa Samia sio jf Wala kwenye vyombo vya habari so hizo ni rumours
 
Liwalo na liwe kwanza mwanangu kala shavu la uwaziri changu nini kupingana na mwenyekiti.... Mtoto kautaka tumempa shida nini
 
Tuseme ukweli kilichotokea mkutano Mkuu ni mawimbi ila sunami itakuwa gharika Usalama wapo vizuri aisee
 
Tuseme ukweli kilichotokea mkutano Mkuu ni mawimbi ila sunami itakuwa gharika Usalama wapo vizuri
 
Nashangaa yule Zbr ataongoza vipindi vitatu sijui katiba yao inasemaje
 
Ccm wanaamini tume l, tise, polisib a watawabeba
 
Kwanza Samia hana uwezo wa kujenga hoja.

CCM ilijikoroga sana juzi.

Bora hata Mpina alijikalia tuli.

Mnachaguaje Rais kama mnachagua katibu wa chama bila kufanya utafiti?
 
Wenye akili wanaelewa ila mapunguani mlioshikiwa akili na ambao mnadhani mkiwa na mboro ndio kuleta maendeleo hamtaelewa.

So hoja zangu ni Kwa wanajitambua na wanao gauge mtu Kwa matokeo yake na sio Jinsia zenu.
Na wewe umeanza kutukana sasa.
 
Hata wapumbavu Huwa wanaojiita Wazalendo na ndio maana mnakimbia facts.

Nasisitiza usapoti au usisapoti ataapishwa Disemba Kwa sababu hakuna mvaa suruali yeyote anaweza kufikia Samia.kwa.delivery hayupo.
 
Ccm daima
 
Huyu mama nchi ilimshinda kitambo tu, anachofanya sasa ni bongo movie tu au Ze Comedy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…