"Wakati niko shule mtoto wa rais awamu ya kwanza Wasira tayari alikuwa mkuu wa mkoa, nikamaliza shule nikaenda Kagera kupigana vita nilivyorudi nikamkuta Wasira yupo, akamuaga Nyerere wakati anastaafu baada ya miaka 24 Wasira bado yupo, Ikaja awamu ya pili ya Mzee Mwinyi, Wasira bado yupo, Mwinyi akamaliza awamu yake ya miaka 10 Wasira yupo, Ikaja wamu ya tatu miaka 10 ya Mkapa, Wasira bado yupo, Mkapa akastaafu Wasira akamuaga yeye bado yupo, ikafika awamu ya Kikwete miaka 10, Wasira bado yupo, baada ya kikwete ikafika awamu ya 5 miaka 5 na robo, Wasira bado yupo, Ikafika wamu hii ya sasa Wasira bado yupo....