Rais Samia unatupa wakati mgumu wanachama wa CCM

Tanganyika ndio wahanga wakubwa tunao umia
 
Expert wangu shida iko wapi
 
Ungetaja mapungufu yake ya kiutendaji, achana na jinsia yake nyau wewe
 
Wewe ni mshenzi tu, kwahiyo kwakuwa anavaa ushungi/muislam ndio hafai, je angekuwa anavaa kimini na kuweka nyele za marehemu kichwani kwake ungekenua tu sio
Hapana, uislam ni dini nzuri sana.
Hoja yangu mimi ni kwamba, kama mwanachama wa CCM inakua ngumu kumshawishi imam mwenye wake wawili na anaeamini "arijalu qawamuna ala nisaa" - "" Mwanaume ni kiongozi wa mwanamke"" ampe kura mwanamke ili aongoze.
Mwanamke ambae hata kwenye mimbar hawezi kusimama.
 
Samia kafanya nini ambacho wengne hawajafanya? Kila rais ana mazuri wake aliyoyafanya mwa kipindi chake. Huyu hana maajabu yoyote
1.Samia anajenga hactares 500k za umwagiliaji Nchi nzima,na Bajeti ya 1.2 wengine wamewahi fanya?

Nionyeshe nataka twende kimoja baada ya kingine.Na nataka ushahidi Mimi ninazo nitakupa hapa.
 
Shida sio kwamba Marekani hawamtaki mwanamke ila je ni mazingira yapi yamemfanya huyu mwanamke akose ushawishi

Bahati nzuri wenzetu marekani hawana mahaba niue katika chaguzi zao bali wanafanya maamuzi kutokana na sera za wagombea wao,yani ubora na uzur wa mgombea utategemeana na maono yake ya sera zake

Sasa kwa bahati mbaya sana mtangulizi au sera za democrat kwa kipindi fulani hazikuwa pendeza wamarekani wengi hivyo alivyokuja bwana Trump na sera mbadala na zenye mashiko watu wamemkubali

Kwahiyo ni swala la sera na dira ndio huamua hatima ya raisi wa marekani lakini sio jinsia,na weka kumbumbuku sawa kwamba ipo siku Amerika itatawaliwa na mwanamama

Kama ambavyo iliitwa white house ikulu yao kama code ya mtu mweupe kuwa ikulu lkn historia ilitupa Obama kama mtu mweusi ndani ya white house,stay tuned panapo majaaliwa inshallah mwanamke atakuwa pale white house
 
Yani hata akipatia, anakosea 🤣🤣🤣
Ndo hivyo imemkaa akilini kwamba lolote analofanya anakosea kwasababu tu ya uanamke wake..
Watu kama hawa inakuwa hawajawahi kuona lolote la maana kutoka kwa mwanamke wa karibu nae kuanzia mama yake hata ndugu zake wengine.
 
1.Samia anajenga hactarws 500k za umwagiliaji Nchi nzima,na Bajeti ya 1.2 wengine wamewahi fanya?

Nionyeshe nataka twende kimoja baada ya kingine.Na nataka ushahidi Mimi ninazo nitakupa hapa.
Hawajafanya hilo lakini wamefanya mengine ambayo mama samia ameyakuta.
Mwinyi kafanya yake mazuri, mkapa, kikwete na magufuli pia wote wamefanya mazuri kwa wakati wao. Sasa huyu maza iweje awe spesho kuzidi wengine kwa kutimiza wajibu wake? Au anatufanyia msaada?
 
Umeandika ushungi kwa kashfa, alafu hizo siasa zenu sio dini. Nyie hamfutati dini
 
Mengine yapi? Mfano mwingine ni Rais gani aliyenunua CT scans Hospital za Mikoa yote Tanzania,MRI Hospital zote za Kanda Tanzania Toka ipate uhuru tofauti na Samia?

Namba za Samia hazilingani na takataka mwingine yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…