Rais Samia unatupa wakati mgumu wanachama wa CCM

Rais Samia unatupa wakati mgumu wanachama wa CCM

1.Samia anajenga hactarws 500k za umwagiliaji Nchi nzima,na Bajeti ya 1.2 wengine wamewahi fanya?

Nionyeshe nataka twende kimoja baada ya kingine.Na nataka ushahidi Mimi ninazo nitakupa hapa.
Wengine ni akina nani???
Mwalimu,JK,Mwinyi,Mkapa au Jm!!!??.
 
Nakubaliana na wewe. Hakuna Rais aliyeajiri watumishi wengi ndani ya miaka michache nchi hii kama Samia.

Numbers dont lie.
Hata muungane hamuwezi shidana na Mimi Kwa takwimu na data.

Narudia hakuna Rais wa kumshinda Samia kwenye delivery Kwa chochote ikiwemo Ajira ambazo yule mtu wenu alishindwa.,Hakuna.
 
Long live the taliban. Wanaume wa kweli katika dunia hii
 
Wewe ni mshenzi tu, kwahiyo kwakuwa anavaa ushungi/muislam ndio hafai, je angekuwa anavaa kimini na kuweka nyele za marehemu kichwani kwake ungekenua tu sio
Ndiyo.... Kura za wavaa vimini na nywele za marehemu atazisikia kwenye bomba.
 
Nakubaliana na wewe. Hakuna Rais aliyeajiri watumishi wengi ndani ya miaka michache nchi hii kama Samia.

Numbers dont lie.
Sio tuu Ajira takribani Kila sekta ,namba za Samia ni extra ordinary eg shule za msingi za kata Hadi mwaka Jana zilikuwa takribani 700 Mpya achilia mbali vyumba vya madarasa,high schools,Vyuo vya Veta ,Vyuo Vikuu nk.

Samia unaweza mchukia Kwa chuki binafsi za kijinga ila sio kwenye namba za delivery ya vitu.
 
Wengine ni akina nani???
Mwalimu,JK,Mwinyi,Mkapa au Jm!!!??.
Hoja yenu ya kijinga hapa si ni Jinsia au hujasoma mada ?

So wengine ni Marais wanaume waliotangulia achilia mbali Hawa wenye mihemko wa Upinzani wasio na sera.
 
Sio tuu Ajira takribani Kila sekta ,namba za Samia ni extra ordinary eg shule za msingi za kata Hadi mwaka Jana zilikuwa takribani 700 Mpya achilia mbali vyumba vya madarasa,high schools,Vyuo vya Veta ,Vyuo Vikuu nk.

Samia unaweza mchukia Kwa chuki binafsi za kijinga ila sio kwenye namba za delivery ya vitu.
Sahihi. Kwenye maeneo mengi numbers zinambeba sana Samia. Hata kwenye utalii. Kwa sasa tunafanya vizuri sana.

Sina shida kubwa na Samia. Nina shida kubwa na CCM.
 
Sahihi. Kwenye maeneo mengi numbers zinambeba sana Samia. Hata kwenye utalii. Kwa sasa tunafanya vizuri sana.

Sina shida kubwa na Samia. Nina shida kubwa na CCM.
Sijaona sekta hata Moja ambayo Samia ame underperform ambae anaijua anitajie,hata huko wanakodai malipo yanasua sua ni Kwa sababu ya miradi mikubwa aliyoasisi Mwendazake bila utaratibu ndio imetatiza mambo ikizingatiwa alitumia mikopo ya mda mfupi yaani commercial loans matokeo yake hela nyingi inaenda kulipa Madeni.

Miradi kama bwawa la Nyerere na Sgr vipande vilivyotangulia bingetumia walau concessional loans shida ndogo zilizojitokeza tusingesikia lakini still Samia amefanya kazi nzuri kabisa.

Ila kama shida Yao ni Mtanganyika anaongea sauti kubwa hao wapo ila Mimi katu siwezi chagua Kiongozi Kwa kuangalia vigezo vya kipuuzi ndio maana Huwa nasema mamlaka zimlinde Samia Kwa gharama yeyote na Kwa wivu mkubwa.

Changamoto zingine ni za kawaida hakuna Malaika hapa
 
Mimi nina kadi ya muda mrefu.

Marekani nchi iliyoendelea kuliko zote duniani, nchi ambayo mwanaume anaweza kubadili jinsia, akakimbia mke na watoto na jamii ikamkubali.

Nchi hii kwa mara ya pili mfululizo imekataa kuwa na rais mwanamke. Wameona bora shetani kuliko mwanamke mara zote mbili. Sio kwamba Trump anapendwa sana, alishindwa na Biden mwaka 2020 tena akiwa rais.

Tanzania sisi wa mwisho kila kitu na chama changu ccm tunataka kuwaaminisha watanzania kwamba mjita wa mkoani Mara atampigia kura rais mwanamke tena anaevaa ushungi?

Wasukuma jirani zangu wazee wa wanawake weupe kweli watampigia kura mwanamke?

Wazee wangu wayao wa Songea, watu wa kuoa wake hadi wa 4 kweli wataenda kumpigia kura mwanamke awaongoze?

Imetosha CCM, tumeweka historia tayari.
Miaka mitano ni mingi mno, damage itakua kubwa mno.

Si twezi utu wala sibezi uwezo wa Dr Samia, ila tuwe wakweli.

Tanzania bado sana.

Kidumu chama cha mapinduzi.

Kuwa Mwanamke siyo issue kwa sasa. Tatizo la Samia ni kuuza Bandar zetu, Misitu yetu na Mbuga zetu kwa Wajomba zake. Kwa hilo hatuwezi kumsamehe.

Kura yangu bora nimpe Mzee wa Ubwabwa kuliko Maza.
 
Hapana, uislam ni dini nzuri sana.
Hoja yangu mimi ni kwamba, kama mwanachama wa CCM inakua ngumu kumshawishi imam mwenye wake wawili na anaeamini "arijalu qawamuna ala nisaa" - "" Mwanaume ni kiongozi wa mwanamke"" ampe kura mwanamke ili aongoze.
Mwanamke ambae hata kwenye mimbar hawezi kusimama.
Acha hizo. Hivi ni kweli mnafuata hiyo dini ipasavyo? Basi kwa taarifa yako hakuna imam wa nchi hii anaempinga mama Samia
 
Hiuo
Kabla ya hapo alikuwa Waziri tuu na ni Samia ambae alimpa kazi ya Makamu Rais na kabla ya hicho Cheo hakuna Cha maana kilifanyika huko Kigoma.

So Samia na CCM haiendi kubishana Kwa ujinga wa vijiweni inaenda kuonesha kazi ilisofanya na kuomba ridhaa ya kuendelea na kazi 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFCalKMtfOc/?igsh=MWplM2ZiODhxMW80

View:
Kabla ya hapo alikuwa Waziri tuu na ni Samia ambae alimpa kazi ya Makamu Rais na kabla ya hicho Cheo hakuna Cha maana kilifanyika huko Kigoma.

So Samia na CCM haiendi kubishana Kwa ujinga wa vijiweni inaenda kuonesha kazi ilisofanya na kuomba ridhaa ya kuendelea na kazi 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFCalKMtfOc/?igsh=MWplM2ZiODhxMW80Nw==

Waha tukishasema hekaye yaani hapana tunamaanisha. ngoja October ifike ndo utaelewa nnachomaanisha
 
Mimi nina kadi ya muda mrefu.

Marekani nchi iliyoendelea kuliko zote duniani, nchi ambayo mwanaume anaweza kubadili jinsia, akakimbia mke na watoto na jamii ikamkubali.

Nchi hii kwa mara ya pili mfululizo imekataa kuwa na rais mwanamke. Wameona bora shetani kuliko mwanamke mara zote mbili. Sio kwamba Trump anapendwa sana, alishindwa na Biden mwaka 2020 tena akiwa rais.

Tanzania sisi wa mwisho kila kitu na chama changu ccm tunataka kuwaaminisha watanzania kwamba mjita wa mkoani Mara atampigia kura rais mwanamke tena anaevaa ushungi?

Wasukuma jirani zangu wazee wa wanawake weupe kweli watampigia kura mwanamke?

Wazee wangu wayao wa Songea, watu wa kuoa wake hadi wa 4 kweli wataenda kumpigia kura mwanamke awaongoze?

Imetosha CCM, tumeweka historia tayari.
Miaka mitano ni mingi mno, damage itakua kubwa mno.

Si twezi utu wala sibezi uwezo wa Dr Samia, ila tuwe wakweli.

Tanzania bado sana.

Kidumu chama cha mapinduzi.
Chama chako kitashinda kwa nguvu ya dola,hofu yako labda ya kimaadili kwamba hupendi wizi.
 
Sio kwamba rais kutolewa mahari au kuolewa ni kosa, je tunashawishije watu waliotoa mahari za wake wawali au watatu wakampigie kura mtu aliyeolewa?
 
Back
Top Bottom