Pre GE2025 Rais Samia, usigombee uchaguzi wa 2025. Achia wengine wapambanie karata zao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

amshapopo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
1,834
Reaction score
4,161
Habari,

Huu ni ushauri kwa Dr. Samia kuelekea uchaguzi wa 2025. Huenda watu wake wanamdanganya "Mama umeupiga mwingi utapita tu" ila kiukweli hupendwi huku mitaani watu wamekata tamaa kuhusu wewe. Ikikupendeza achia wengine waendeleze gurudumu ili maisha yaendelee. Pia wakikudanganya kuhusu BAO LA MKONO pia sawa lakini kwa nitavyamavyo yajayo mengi yanafurahisha.
 
Mama yeye anasema hv 😂
FB_IMG_1722715492704.jpg
 
Ushauri mzuri sana.kwa amani ya Nchi anatakiwa apumuzike.Maana wananchi tumechoka sana sana sababu ya Nchi kuiharibu sana kuliko kipindi chote Toka tupate uhuru
 
hivi nyie mnaosema mama hapendwi sijui mnatokea wapi ?

Mama hana baya na mtu, anatenda haki kupendwa au kutopendwa na kushinda uchaguzi ni mambo mawili tofauti..
 
Habari,

Huu ni ushauri kwa Dr. Samia kuelekea uchaguzi wa 2025. Huenda watu wake wanamdanganya "Mama umeupiga mwingi utapita tu" ila kiukweli hupendwi huku mitaani watu wamekata tamaa kuhusu wewe. Ikikupendeza achia wengine waendeleze gurudumu ili maisha yaendelee. Pia wakikudanganya kuhusu BAO LA MKONO pia sawa lakini kwa nitavyamavyo yajayo mengi yanafurahisha.
Mama naona kashalitambua hilo na hivi karibuni anatufurahisha wanajpm kwa vile tumekua tukimsihi aachane na wahuni na kwamba akihakikisha nchi inapata kiongozi aina ya magufuli 2024 tutamkumbuka na kumheshimu kabisa.
Matumaini mama atarudisha nchi kwenye njia sahihi kwa kusimamia kutupatia kiongozi thabiti aina ya Magufuli.
 
Habari,

Huu ni ushauri kwa Dr. Samia kuelekea uchaguzi wa 2025. Huenda watu wake wanamdanganya "Mama umeupiga mwingi utapita tu" ila kiukweli hupendwi huku mitaani watu wamekata tamaa kuhusu wewe. Ikikupendeza achia wengine waendeleze gurudumu ili maisha yaendelee. Pia wakikudanganya kuhusu BAO LA MKONO pia sawa lakini kwa nitavyamavyo yajayo mengi yanafurahisha.
Una hoja ñzuri. Wazalendo wa kweli na wenye maono watakuelewa vizuri lakini wajinga na wafu wa akili hawataelewa
 
Habari,

Huu ni ushauri kwa Dr. Samia kuelekea uchaguzi wa 2025. Huenda watu wake wanamdanganya "Mama umeupiga mwingi utapita tu" ila kiukweli hupendwi huku mitaani watu wamekata tamaa kuhusu wewe. Ikikupendeza achia wengine waendeleze gurudumu ili maisha yaendelee. Pia wakikudanganya kuhusu BAO LA MKONO pia sawa lakini kwa nitavyamavyo yajayo mengi yanafurahisha.
Kama hapendwi ndiyo vizuri ili UPINZANI washinde. Mnona nyinyi mnakuwa wajinga na waongo. Kwani lazima CCM tu iongoze? Huu uzi ni wa UNAFIKI toka kwa wapambe wa akina NApe na Januari Makamba
 
hivi nyie mnaosema mama hapendwi sijui mnatokea wapi ?

Mama hana baya na mtu, anatenda haki kupendwa au kutopendwa na kushinda uchaguzi ni mambo mawili tofauti..
Ambacho hujaelewa hapo ni nini?
Okay both hapendwi na asigombee
 
Mtoa mada hata kama hujui kusoma hata picha huoni mama anavyo furahiwa kila anapoenda kwenye ziara zake mfano mzuri ni Katavi,Sumbawanga,Songwe na Sasa Morogoro watu wanafuraha na mama kweli kweli
 
hivi nyie mnaosema mama hapendwi sijui mnatokea wapi ?

Mama hana baya na mtu, anatenda haki kupendwa au kutopendwa na kushinda uchaguzi ni mambo mawili tofauti..
Njoo mtaani uone 😂😂
 
Bado haimsaidii mkulima. Ndiyo maana kilimo nchi kinaoogopwa na vijana.
 
Back
Top Bottom