Pre GE2025 Rais Samia, usigombee uchaguzi wa 2025. Achia wengine wapambanie karata zao

Pre GE2025 Rais Samia, usigombee uchaguzi wa 2025. Achia wengine wapambanie karata zao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Habari,

Huu ni ushauri kwa Dr. Samia kuelekea uchaguzi wa 2025. Huenda watu wake wanamdanganya "Mama umeupiga mwingi utapita tu" ila kiukweli hupendwi huku mitaani watu wamekata tamaa kuhusu wewe. Ikikupendeza achia wengine waendeleze gurudumu ili maisha yaendelee. Pia wakikudanganya kuhusu BAO LA MKONO pia sawa lakini kwa nitavyamavyo yajayo mengi yanafurahisha.
Usimuamshe aliyelala
 
Mtoa mada hata kama hujui kusoma hata picha huoni mama anavyo furahiwa kila anapoenda kwenye ziara zake mfano mzuri ni Katavi,Sumbawanga,Songwe na Sasa Morogoro watu wanafuraha na mama kweli kweli
Endeleeni kumdanganya
 
Kweli kabisa nami nashauri apumzike...2025 awaachie Tanganyika yetu.....tupambane wenyewe..
 
Back
Top Bottom