Amechokwa hadi na wanyama wa Serengeti.Ushauri mzuri sana.kwa amani ya Nchi anatakiwa apumuzike.Maana wananchi tumechoka sana sana sababu ya Nchi kuiharibu sana kuliko kipindi chote Toka tupate uhuru
Lini tulimchagua muhula wa kwanza?Utamaduni wa CCM Rais anahudumu Mihula miwili
Mama naona kashalitambua hilo na hivi karibuni anatufurahisha wanajpm kwa vile tumekua tukimsihi aachane na wahuni na kwamba akihakikisha nchi inapata kiongozi aina ya magufuli 2024 tutamkumbuka na kumheshimu kabisa.Habari,
Huu ni ushauri kwa Dr. Samia kuelekea uchaguzi wa 2025. Huenda watu wake wanamdanganya "Mama umeupiga mwingi utapita tu" ila kiukweli hupendwi huku mitaani watu wamekata tamaa kuhusu wewe. Ikikupendeza achia wengine waendeleze gurudumu ili maisha yaendelee. Pia wakikudanganya kuhusu BAO LA MKONO pia sawa lakini kwa nitavyamavyo yajayo mengi yanafurahisha.
haaaaaa anzisha nae bifu kiroboto alipata ubalozi ,kwahiyo unataka akae vipindi vinne avunje rekodiUtamaduni wa CCM Rais anahudumu Mihula miwili
Una hoja ñzuri. Wazalendo wa kweli na wenye maono watakuelewa vizuri lakini wajinga na wafu wa akili hawataelewaHabari,
Huu ni ushauri kwa Dr. Samia kuelekea uchaguzi wa 2025. Huenda watu wake wanamdanganya "Mama umeupiga mwingi utapita tu" ila kiukweli hupendwi huku mitaani watu wamekata tamaa kuhusu wewe. Ikikupendeza achia wengine waendeleze gurudumu ili maisha yaendelee. Pia wakikudanganya kuhusu BAO LA MKONO pia sawa lakini kwa nitavyamavyo yajayo mengi yanafurahisha.
Kama hapendwi ndiyo vizuri ili UPINZANI washinde. Mnona nyinyi mnakuwa wajinga na waongo. Kwani lazima CCM tu iongoze? Huu uzi ni wa UNAFIKI toka kwa wapambe wa akina NApe na Januari MakambaHabari,
Huu ni ushauri kwa Dr. Samia kuelekea uchaguzi wa 2025. Huenda watu wake wanamdanganya "Mama umeupiga mwingi utapita tu" ila kiukweli hupendwi huku mitaani watu wamekata tamaa kuhusu wewe. Ikikupendeza achia wengine waendeleze gurudumu ili maisha yaendelee. Pia wakikudanganya kuhusu BAO LA MKONO pia sawa lakini kwa nitavyamavyo yajayo mengi yanafurahisha.
Ambacho hujaelewa hapo ni nini?hivi nyie mnaosema mama hapendwi sijui mnatokea wapi ?
Mama hana baya na mtu, anatenda haki kupendwa au kutopendwa na kushinda uchaguzi ni mambo mawili tofauti..