eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
sitaki sana kusema mengi kwako samia, kwa sababu najua pia kama ccm ingeamua kupiga kura kuchagua mgombea urais, ungeshindwa.
ila waliamua kuivunja katiba ili kukufanya kuwa mgombea pekee.
sasa onyo langu na la wengi katika ulimwengu wa kiroho wa Mungu, wewe na wenzako, msithubutu kufanya mlichokifanya kwenye mkutano wenu Dodoma, kwenye uchaguzi wa nchi ya Tanzania hapo baadaye.
nakusihi ukishindwa kubali umeshindwa, usibadilishe chochote kama mwenzako alivyofanya 2020.
wa kusikia na asikie, najua mnasema mna pesa ya kubadilisha chochote.
ni sawa ila mkilazimisha kutawala wewe na wenzako, wakati hamjashinda ni kweli utatutawala, lakini mtaliingiza taifa kwenye maombolezo mengine.
majira ya nchi kwa watu wa majira yanadai mtawala mpya.
mkifanya michezo yenu basi mkubali kuungana yaani kugawana nusu ya utawala na chama kingine.
la sivyo la sivyo ni machozi mengine kwa taifa.
Mungu hapendi watawala wanaoenda kinyume na anavyotaka, kwa sababu taifa ni la Mungu sio mtawala wa chama fulani au chama fulani.
asanteni kwa kusoma.