GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #181
Liangalie hili 'Damn Fool' linajifanya lina Akili na kujua Mambo mengi halafu linakosea kwa Kuandika Mkwele badala ya Mkwere. Nikiwa ninakudharau na Kukusanifu usiwe Unakataa au Kuchukia kwani huwa nakuwa Sahihi.Nimekuelewa sana, ndio maana Bashiru na wahuni wenzake walipotaka kufanya mapinduzi baridi ni Mabeyo ndio aliwaonya na mama akaapishwa mara moja.
Kumbe JK ni kama ghost fulani hivi aisee.
Kwahiyo yule mshamba wa Chato akaona anateuwa msukuma mwenzake kumbe ni inner circle ya JK.
Shikamoo mkwele.
Tulimstahi tu.Kwa mwamunyange mluchukua?
Naona kwa Kuniogopa umeamua uje na hii ID yako nyingine ukijua kuwa labda sitokushtukia. Juha kabisa Wewe.
mbona yupo Meja General CPA Edward Mathew Mkengule? mama mteue Mkengule ambae kwa sasa ni Mnadhimu jeshini aje akusaidie kazi hukuKabla ya Mabeyo alikuwepo Davis Mwamunyange na kabla ya Mwamunyange alikuwepo Robert Mboma....baada ya Mabeyo yupo mwingine atakuja tu..
Hakuna binadamu special duniani, kila binadamu anareplacemeny yake kwenye kazi, wakati wakupumzika au kustaafu ukifika mhusika aende na wengine wakae...
Kumbe Wewe ni Mtani wangu? Basi nimekuelwa na nimefurahi pia kujua Wewe ni Mtani wangu na Mimi huwa nawapenda sana tu Watani zangu Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wanyamwezi na Wakara.Unanikosea mtani mbona sijawahi kurumbana na wewe, hapo mimi nimechomekea tu kiutani
Ni Mkatoliki Mwenzangu ( Mwenzetu ) au wq Kwao?mbona yupo Meja General CPA Edward Mathew Mkengule? mama mteue Mkengule ambae kwa sasa ni Mnadhimu jeshini aje akusaidie kazi huku
kwani ndo cdf wa kwanza kuwepo kwenye nchi hii hao m23 mbona hawakutupiga kabla ya yeye kuepo, Mabeyo katokea wapi? uongozi ni kupokezana wenye sifa ni wengi sana na isijengwe picha ya kusubirisha ili atengeneze mtu wa dizaini yake.Mkiruhusu astaafu mtapigwa na M23 na Rwanda kama Kuku. Watanzania andamaneni CDF Mabeyo asistaafu sasa kwani nawaonea Huruma.
Wapo watumishi bora tu kama yeye jeshini maaana hata yeye mwenyewe kapikwa kwenye hilo hilo jeshi ambalo atakayemrithi ndipo atakapo toka incase ushauri ulitakiwa uwe vetting ya kujaza nafasi yake ifanyike kwa umakini lakini inshu ya kumzuia asistaafu siungi mkono hata kidogo.Najua huwa Unanisoma mno hapa JamiiForums kama ilivyo kwa 75% ya Watendaji wako wa Idara Muhimu ya Makao Makuu Oysterbay jirani na Kanisa la Mtakatifu Petro.
Mama (Rais) Samia asikudanganye Mtu kwa sasa bado hakuna right Candidate wa Kumrithi CDF General Mabeyo kutokana na tunayoyasikia (chini chini) huko na jinsi huyu Mabeyo (CDF) alivyoweza Kuliheshimisha Jeshi kuliko lilivyokuwa huko nyuma ambako kuna baadhi ya Maadili ndani ya Wahusika yalianza Kumomonyoka.
Ombi langu Kwako Mpendwa Rais wangu (Mama) mkatalie kwa sasa CDF Mabeyo Kustaafu ila muongezee hadi utakapoapishwa tena Novemba 2025 ili aanze Kukuandalia Mbadala wake ambaye angalau kwa 95% atakuwa anafanana nae kwa Utendaji wa Kutukuka.
Najua kuna Majina unayo tayari Mezani Kwako na lipo la Mmoja kutoka Zanzibar ambaye alikuwa huku Bara muda mrefu ila kwa Kauli za Wenzao amba Sisi Watu wa Kawaida sana Tanzania hii akina GENTAMYCINE huwa tunazisikia kutokana na kuwa na Masikio Makubwa wanasema hawawezi na wana 'makandokando' mengi.
Najua huwezi Kuniangusha Mama.
Cc: adriz
Atolewe kwa kufanikisha misheni?Diwani angetolewa pia kama angehusika kwenye sabotage ya 17 to 19th March
Wee nae boya tu huyo takataka wako kagame unamuona kama mungu wako au putin,mwambie ajaribu mbona Kwa jk aliufyata yaan Tz tubabaishwe na ka Rwanda ako pumbafuuuuFanyeni Makosa yote ila mkimweka CDF Mwanamke asubuhi tu Tanzania inakuwa Mali ya Rwanda na 'Mwamba' Kagame.
Kila uzi lazima umtaje bwana wako Kagame itakuwa anakusuuza vizuri.Nawajua mpaka Wanaokukaza.
Yupo mwingine nahisi.RC wa Kagera Afande Mbuge ( Poti Mwenzangu kutoka Mkoani Mara ) hawezi tena kuwa CDF kwani kuna Udhaifu fulani anao na ameshindwa Kuudhibiti halafu hata Ripoti zake kutoka kwa Idara Mbili Muhimu ya Jeshini na ile ya Oysterbay ambazo Rais hupelekewa zina Madhambi yake kadhaa ambayo ndiyo yanamuondolea Sifa ya kuwa next CDF japo alistahili kwani hata 85% ya Wanajeshi wanampenda na wanamkubali mno.
Crazy like ideasMkiruhusu astaafu mtapigwa na M23 na Rwanda kama Kuku. Watanzania andamaneni CDF Mabeyo asistaafu sasa kwani nawaonea Huruma.
Nikuulize ww mwenzangu ambae umejaza funza kichwaniUmekumbuka leo kunywa Kidonge chako cha Ugonjwa wa Akili ulionao?
Sema nini, jamaa yangu sometimes huwa unapuyanga sana.Najua huwa Unanisoma mno hapa JamiiForums kama ilivyo kwa 75% ya Watendaji wako wa Idara Muhimu ya Makao Makuu Oysterbay jirani na Kanisa la Mtakatifu Petro.