Rais Samia usikubali CDF General Mabeyo astaafu kwani bado anahitajika na sijaona wa kumrithi kwa sasa

Rais Samia usikubali CDF General Mabeyo astaafu kwani bado anahitajika na sijaona wa kumrithi kwa sasa

Kwa heshima na taadhima nakuomba Rais wetu Mama Samia hebu muongezee muda Jenerali Mabeyo.

Utumishi wake umetukuka na wa kiwango cha juu na uaminifu wake ulionekana wakati wa kifo cha hayati Rais Magufuli alisimamia mabadiliko ya urais kwa mujibu wa Katiba

Tunakuomba rais mpe miaka 5 Jenerali Mabeyo.

Chawa
 
Nafasi yake ina mtu tayari wapo majenerali 6 ambayo mmoja wapo anauwezo wa kuwa mkuu wa majeshi vizuri sana na hao wote kikwete ndio aliwandaaa wakati anaondoka hta mabeyo kikwete ndio alimuandaaa ila akamuegesha mahali Magu alipokuja akamteuwa kuwa mkuu wa majeshi akijua yeye ndio kamuweka kumbe ulikuwa mtego tu
Nimekuelewa sana, ndio maana Bashiru na wahuni wenzake walipotaka kufanya mapinduzi baridi ni Mabeyo ndio aliwaonya na mama akaapishwa mara moja.

Kumbe JK ni kama ghost fulani hivi aisee.

Kwahiyo yule mshamba wa Chato akaona anateuwa msukuma mwenzake kumbe ni inner circle ya JK.

Shikamoo mkwele.
 
Mama atakuwa amekusoma na kama hajakusoma basi atafikishiwa ujumbe na wapambe wake.

Mabeyo anayo hofu ya Mungu, ndio maana anajitahidi kwa uwezo wake kutenda mema kwa ajili ya maisha ya baadae baada ya kifo.
Chawa wa Ngosha
 
Najua huwa Unanisoma mno hapa JamiiForums kama ilivyo kwa 75% ya Watendaji wako wa Idara Muhimu ya Makao Makuu Oysterbay jirani na Kanisa la Mtakatifu Petro.

Mama (Rais) Samia asikudanganye Mtu kwa sasa bado hakuna right Candidate wa Kumrithi CDF General Mabeyo kutokana na tunayoyasikia (chini chini) huko na jinsi huyu Mabeyo (CDF) alivyoweza Kuliheshimisha Jeshi kuliko lilivyokuwa huko nyuma ambako kuna baadhi ya Maadili ndani ya Wahusika yalianza Kumomonyoka.

Ombi langu Kwako Mpendwa Rais wangu (Mama) mkatalie kwa sasa CDF Mabeyo Kustaafu ila muongezee hadi utakapoapishwa tena Novemba 2025 ili aanze Kukuandalia Mbadala wake ambaye angalau kwa 95% atakuwa anafanana nae kwa Utendaji wa Kutukuka.

Najua kuna Majina unayo tayari Mezani Kwako na lipo la Mmoja kutoka Zanzibar ambaye alikuwa huku Bara muda mrefu ila kwa Kauli za Wenzao amba Sisi Watu wa Kawaida sana Tanzania hii akina GENTAMYCINE huwa tunazisikia kutokana na kuwa na Masikio Makubwa wanasema hawawezi na wana 'makandokando' mengi.

Najua huwezi Kuniangusha Mama.

Cc: adriz
We POPOMA subiri CDF toka pemba
 
Akistaafu huyo tu M23 wanaichukua Tanzania. Msikubali CDF General Mabeyo astaafu. Andamaneni Watanzania wote shauri zenu.
Kabla ya yeye kuwa CDF hao M23 walichukua nchi ipi? Hoja zako hazina msingi

Amefanya kazi nzuri na naamini jeshini kuna succesion plan kupata wenye weledi wa kukamata usukani.
 
Jeshi ni taasisi kubwa haiwezi kumtegemea mtu mmoja.

Ulichokiona na kukisikia baada ya Dr Magufuli kuondoka ulikuwa msimamo wa uongozi mzima wa jeshi kwa maana CDF,Chief of Staff,Chief of Air Force,Chief of Navy,Chief of Infantry,Chief of National Services,Chief of Personel,Chief of Military Intelgency and Chief of Medical Services.

Hivi ndio vichwa vilivyokaa na kuamua katiba lazima ifuatwe na iheshimuwe.Mmoja wapo katika ya hao niliowataja hapo juu atachukua mikoba ya General Mabeyo and most likely is Chief of Staff kama seniority itazingatiwa.

Ngongo kwasasa Ukraine.
Wasalimie Ukraine huko poti
 
Mama atakuwa amekusoma na kama hajakusoma basi atafikishiwa ujumbe na wapambe wake.

Mabeyo anayo hofu ya Mungu, ndio maana anajitahidi kwa uwezo wake kutenda mema kwa ajili ya maisha ya baadae baada ya kifo.
hapo kwenye hofu ya Mungu
 
Back
Top Bottom