Ameleta hoja as if ni saccos au vikoba.Mabeyo Mungu akumwihitaji akiwa madarakani pia hatamuona mtu wakumrithi?Wewe lini upo jeshini kujua hamna wa kumrithi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameleta hoja as if ni saccos au vikoba.Mabeyo Mungu akumwihitaji akiwa madarakani pia hatamuona mtu wakumrithi?Wewe lini upo jeshini kujua hamna wa kumrithi
Kwangu Mimi Marais wenye Akili Afrika nzima ni Museveni wa Uganda na Kagame wa Rwanda waliobaki nashangaa kwanini wako Madarakani kwani hakuna wanachokifanya.Akili zako zinazunguka kwenye comfort zone sana na bado unaonekana una maneno ya uswahilini sana .
Kagame this Kagame that .....FYI.... Kagame is just a piece of ass kwa TZ . Hakuna RAIS wa JMT ambae ameshawahi kumchukulia Kagame serious...., Sisi Competitors wetu ni kama Kenya..... sio hiyo Rwanda ambayo ni sawa na mkoa wa Tabora. Muwe mnanidhamu na TZ
Nafurahi sana pale Nikiwakera na Kuwajaza Upepo Watanzania na mnacheza vile ninavyowapeleka. Mimi ndiyo GENTAMYCINE bhana..........!!!!Ushauri kampe kagame si unajikutakaga wee ni lipua lirefu rais wa tz anakuhusu nn??? Shobo zngne
Ngoja achaguliwe Muislamu ndipo mtatujua Wakristo hasa Wakatoliki wa nchi hii ambao ndiyo tuna Nguvu na Ushawishi kwa Waumini na hata Jamii.Ni lazima tupate Mwislam mwenzetu safari hii. Acha mbwai iwe mbwai.
Na Yule asiyejua kila Kitu ni Juha kabisa.Ukiona mtu anajifanya kujua kila kitu muogope Sana
Diwani angetolewa pia kama angehusika kwenye sabotage ya 17 to 19th MarchAlizidiwa na Diwani hadi yakatokea yaliyotokea, bila huyu bibi asingeapishwa…. sasa basi tena.
Mabeyo Kawa CDF lini na hao M23 wapo toka lini? Acha story za vijiwe vya KahawaAkistaafu huyo tu M23 wanaichukua Tanzania. Msikubali CDF General Mabeyo astaafu. Andamaneni Watanzania wote shauri zenu.
Angalia ulivyo Mpunbavu kujifanya uko detailed and well informed wakati ni Empty Set kabisa.Bashiru na wahuni wenzake wa Sukuma gang hawakutaka mama aapishwe, Ni Mabeyo ndio aliingilia kati.
Angalia ulivyo Mpunbavu kujifanya uko detailed and well informed wakati ni Empty Set kabisa.
Hivi ndivyo huwa Unadanganywa unapokuwa umekaa Vijiweni na Mabasha zako kisha nawe ndiyo unajitutumua na kuja Kutuandikia hapa JamiiForums ukidhani Members wote tunafanana na Upumbavu Uliokitukuka?
Yaani huwa Nakusanifu kweli kweli hapa JamiiForums ukizingatia nakujua ndani nje mpaka Dereva Bodaboda anayekukazia Mkeo mwenye Miguu mibaya utafikiri Bata Mzinga.
Naona kwa Kuniogopa umeamua uje na hii ID yako nyingine ukijua kuwa labda sitokushtukia. Juha kabisa Wewe.Ndio maana mnakula mtama mwekundu badala mle ndizi
Unajipa umuhimu usio kuwa nao. Wewe ndio u ajua wanamfaa Rais Samia kuliko washauri wake?Najua huwa Unanisoma mno hapa JamiiForums kama ilivyo kwa 75% ya Watendaji wako wa Idara Muhimu ya Makao Makuu Oysterbay jirani na Kanisa la Mtakatifu Petro.
Mama (Rais) Samia asikudanganye Mtu kwa sasa bado hakuna right Candidate wa Kumrithi CDF General Mabeyo kutokana na tunayoyasikia (chini chini) huko na jinsi huyu Mabeyo (CDF) alivyoweza Kuliheshimisha Jeshi kuliko lilivyokuwa huko nyuma ambako kuna baadhi ya Maadili ndani ya Wahusika yalianza Kumomonyoka.
Ombi langu Kwako Mpendwa Rais wangu (Mama) mkatalie kwa sasa CDF Mabeyo Kustaafu ila muongezee hadi utakapoapishwa tena Novemba 2025 ili aanze Kukuandalia Mbadala wake ambaye angalau kwa 95% atakuwa anafanana nae kwa Utendaji wa Kutukuka.
Najua kuna Majina unayo tayari Mezani Kwako na lipo la Mmoja kutoka Zanzibar ambaye alikuwa huku Bara muda mrefu ila kwa Kauli za Wenzao amba Sisi Watu wa Kawaida sana Tanzania hii akina GENTAMYCINE huwa tunazisikia kutokana na kuwa na Masikio Makubwa wanasema hawawezi na wana 'makandokando' mengi.
Najua huwezi Kuniangusha Mama.
Cc: adriz
Yehodaya mlifanya makosa makubwa kuwaingiza hawa wavamizi kwenye chama chenu. Watawasumbua sana.Akili yako inahitaji daktari wa hospitali ya vichaa mirembe
Hata hivyo Mabeyo alisomea na kujifunza Jeshi hakusomea kuwa CDF. Anybody can take the chanceKabla ya Mabeyo alikuwepo Davis Mwamunyange na kabla ya Mwamunyange alikuwepo Robert Mboma....baada ya Mabeyo yupo mwingine atakuja tu..
Hakuna binadamu special duniani, kila binadamu anareplacemeny yake kwenye kazi, wakati wakupumzika au kustaafu ukifika mhusika aende na wengine wakae...
Jamani huu si uongo kabisa! Nakusihi mkuu GENTAMYCINE kukubali na kuzingatia Katiba na sheria za Nchi yetu.Najua huwa Unanisoma mno hapa JamiiForums kama ilivyo kwa 75% ya Watendaji wako wa Idara Muhimu ya Makao Makuu Oysterbay jirani na Kanisa la Mtakatifu Petro.
Mama (Rais) Samia asikudanganye Mtu kwa sasa bado hakuna right Candidate wa Kumrithi CDF General Mabeyo kutokana na tunayoyasikia (chini chini) huko na jinsi huyu Mabeyo (CDF) alivyoweza Kuliheshimisha Jeshi kuliko lilivyokuwa huko nyuma ambako kuna baadhi ya Maadili ndani ya Wahusika yalianza Kumomonyoka.
Ombi langu Kwako Mpendwa Rais wangu (Mama) mkatalie kwa sasa CDF Mabeyo Kustaafu ila muongezee hadi utakapoapishwa tena Novemba 2025 ili aanze Kukuandalia Mbadala wake ambaye angalau kwa 95% atakuwa anafanana nae kwa Utendaji wa Kutukuka.
Najua kuna Majina unayo tayari Mezani Kwako na lipo la Mmoja kutoka Zanzibar ambaye alikuwa huku Bara muda mrefu ila kwa Kauli za Wenzao amba Sisi Watu wa Kawaida sana Tanzania hii akina GENTAMYCINE huwa tunazisikia kutokana na kuwa na Masikio Makubwa wanasema hawawezi na wana 'makandokando' mengi.
Najua huwezi Kuniangusha Mama.
Cc: adriz
Tuanze na wewe? Kwa nini unasema mabeyo akiondoka Tutapigwa na M23? Wewe hujitambui kabisa. Unaongerea mambo ya usalama wa juu kabisa wa Nchi yetu ili hali hujuwi chochote kuhusu Katiba, sheria, kanuni na miongozo hata ya Mjumbe wa nyumba 10.Mkiruhusu astaafu mtapigwa na M23 na Rwanda kama Kuku. Watanzania andamaneni CDF Mabeyo asistaafu sasa kwani nawaonea Huruma.
Wamechelewa sana.Yehodaya mlifanya makosa makubwa kuwaingiza hawa wavamizi kwenye chama chenu. Watawasumbua sana.
Sasa wewe umejenga hoja gani? Unafahamu maana ya Hoja? Au una fikiri kila neno ni hoja? ili mradi tu utangulie kusema?Maelezo marefu yenye 'Pumba' tupu halafu Kuandika vyema kwa Lugha yetu ( Mama ) ya Kiswahili neno 'Akili' huwezi ( umeshindwa ) na umeandika 'akiri' je, uwezo wa Kushindana nami kujenga Hoja utakuwa nao Kweli? Mpuuzi Mmoja Wewe hebu nitokee hapa sawa?
Sawa.Bashiru na wahuni wenzake wa Sukuma gang hawakutaka mama aapishwe, Ni Mabeyo ndio aliingilia kati.
Wewe nani au umetumwa unaleta siasa Jeshi sio chama cha Siasa waache waendelee na utaratibu wao unasema hujaona wakumrithi kwa hiyo tusubiri mpaka azaliwe mwingine? Unaendekeza mawazo ya kichawa chawaNajua huwa Unanisoma mno hapa JamiiForums kama ilivyo kwa 75% ya Watendaji wako wa Idara Muhimu ya Makao Makuu Oysterbay jirani na Kanisa la Mtakatifu Petro.
Mama (Rais) Samia asikudanganye Mtu kwa sasa bado hakuna right Candidate wa Kumrithi CDF General Mabeyo kutokana na tunayoyasikia (chini chini) huko na jinsi huyu Mabeyo (CDF) alivyoweza Kuliheshimisha Jeshi kuliko lilivyokuwa huko nyuma ambako kuna baadhi ya Maadili ndani ya Wahusika yalianza Kumomonyoka.
Ombi langu Kwako Mpendwa Rais wangu (Mama) mkatalie kwa sasa CDF Mabeyo Kustaafu ila muongezee hadi utakapoapishwa tena Novemba 2025 ili aanze Kukuandalia Mbadala wake ambaye angalau kwa 95% atakuwa anafanana nae kwa Utendaji wa Kutukuka.
Najua kuna Majina unayo tayari Mezani Kwako na lipo la Mmoja kutoka Zanzibar ambaye alikuwa huku Bara muda mrefu ila kwa Kauli za Wenzao amba Sisi Watu wa Kawaida sana Tanzania hii akina GENTAMYCINE huwa tunazisikia kutokana na kuwa na Masikio Makubwa wanasema hawawezi na wana 'makandokando' mengi.
Najua huwezi Kuniangusha Mama.
Cc: adriz
Acha hizo wewe watanzania wapo wengi wenye ujuzi kumzidi hata mabeye sema mitanzani elimu yenu ina mashaka Sana.
Hata jpm mlimsifia Sana Tena mpaka bungeni sisi wenye akiri tukawa tibaona tunaongozwa na boys, mshamba na asiyekuwa na sifa ya uongozi hata chembe. Ajaja Samia kumproove wrong kwamba nchi haipaswi kuongozwa vile.
Magufuli angeendelea tayari angekuwa ameshatengeneza ugaidi ndani ya nchi. Samia kaleta harmonization na tunaona nchi ipo shwari kabisa.
Mlifikia hatua ya kusema jpm aongezewe mda wa urais na yeye alivybogus akalishilia Hilo Tena kwa kujigamba kwamba hakuna Kama yeye. Sisi wenye tukawa tunamchora tu.
Ndugu Kuna watu wengi wenye akiri na mbunu nyingi sema ufinyu wako wa akiri unahisi na mabeyo tu Kama nilivyokuwa mnasema na kutaka katiba ibadilishwe jpm aongoze milele na yeye mwenyewe alikuwa hajijui Kama ni bogus kiasi gani