Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya hao M23 kuichukua Tanzania, maiti yako itakuwa imebakia mifupa mbbwa weweMkikubali tu CDF General Mabeyo ( tunayemuogopa sana sisi Warutsi ) astaafu Mwezi huu June basi M23 watakuja Kuichukua Tanzania yote.
Shauri zenu.....!!!!!
Miaka 65 kwa askari ni mzee wa kupindukia!! Apumzike kwa amani duniani badala ya kusubiri kupumzika kwa lazima kaburini!Najua huwa Unanisoma mno hapa JamiiForums kama ilivyo kwa 75% ya Watendaji wako wa Idara Muhimu ya Makao Makuu Oysterbay jirani na Kanisa la Mtakatifu Petro.
Mama (Rais) Samia asikudanganye Mtu kwa sasa bado hakuna right Candidate wa Kumrithi CDF General Mabeyo kutokana na tunayoyasikia (chini chini) huko na jinsi huyu Mabeyo (CDF) alivyoweza Kuliheshimisha Jeshi kuliko lilivyokuwa huko nyuma ambako kuna baadhi ya Maadili ndani ya Wahusika yalianza Kumomonyoka.
Ombi langu Kwako Mpendwa Rais wangu (Mama) mkatalie kwa sasa CDF Mabeyo Kustaafu ila muongezee hadi utakapoapishwa tena Novemba 2025 ili aanze Kukuandalia Mbadala wake ambaye angalau kwa 95% atakuwa anafanana nae kwa Utendaji wa Kutukuka.
Najua kuna Majina unayo tayari Mezani Kwako na lipo la Mmoja kutoka Zanzibar ambaye alikuwa huku Bara muda mrefu ila kwa Kauli za Wenzao amba Sisi Watu wa Kawaida sana Tanzania hii akina GENTAMYCINE huwa tunazisikia kutokana na kuwa na Masikio Makubwa wanasema hawawezi na wana 'makandokando' mengi.
Najua huwezi Kuniangusha Mama.
Cc: adriz
Umri wake ushagota, ni muda muafaka sasa wa huyu bwana akachia hiyo nafasi huko JWTZ kuna watu wengi tu ambao wameiva zaidi ya huyu Mabeyo
Ila ni muda sasa wa mama kuendelea kulipa fadhila maana bila yeye sidhani kama angekuwa hapo alipo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu mleta mada kila ifikapo mwezi wa 6 nahisi anachaganyikiwa.
Usikariri maishaMkiruhusu astaafu mtapigwa na M23 na Rwanda kama Kuku. Watanzania andamaneni CDF Mabeyo asistaafu sasa kwani nawaonea Huruma.
Madawa ya kulevya siyo mazuri mkuuMkikubali tu CDF General Mabeyo ( tunayemuogopa sana sisi Warutsi ) astaafu Mwezi huu June basi M23 watakuja Kuichukua Tanzania yote.
Shauri zenu.....!!!!!
Aisee, una id nyingi sanaKwa heshima na taadhima nakuomba Rais wetu Mama Samia hebu muongezee muda Jenerali Mabeyo.
Utumishi wake umetukuka na wa kiwango cha juu na uaminifu wake ulionekana wakati wa kifo cha hayati Rais Magufuli alisimamia mabadiliko ya urais kwa mujibu wa Katiba
Tunakuomba rais mpe miaka 5 Jenerali Mabeyo.
Kifupi kagame akikujua wewe atakuuwaMkikubali tu CDF General Mabeyo ( tunayemuogopa sana sisi Warutsi ) astaafu Mwezi huu June basi M23 watakuja Kuichukua Tanzania yote.
Shauri zenu.....!!!!!
Tabia za kijiwe jiwe hizo.Kwanini aongezewe?? Mbona tunapenda watu waongezewe muda kila mara??
😂😂😂Wanawake wapo wengi ataweka tu
Akistaafu huyo tu M23 wanaichukua Tanzania. Msikubali CDF General Mabeyo astaafu. Andamaneni Watanzania wote shauri zenu.
Fanyeni Makosa yote ila mkimweka CDF Mwanamke asubuhi tu Tanzania inakuwa Mali ya Rwanda na 'Mwamba' Kagame.
Jeshi ni taasisi kubwa!!Atakuja mwingine, na jeshi letu litabaki imara,
RC wa Kagera Afande Mbuge ( Poti Mwenzangu kutoka Mkoani Mara ) hawezi tena kuwa CDF kwani kuna Udhaifu fulani anao na ameshindwa Kuudhibiti halafu hata Ripoti zake kutoka kwa Idara Mbili Muhimu ya Jeshini na ile ya Oysterbay ambazo Rais hupelekewa zina Madhambi yake kadhaa ambayo ndiyo yanamuondolea Sifa ya kuwa next CDF japo alistahili kwani hata 85% ya Wanajeshi wanampenda na wanamkubali mno.Kuna Mkuu wa Mkoa fulani nadhani amekuwa akiandaliwa kwa kazi hii ila sijui protoko zimekaaje.
Nawajua mpaka Wanaokukaza.Shoga la Kagame linajifanya kujua kila kitu.
Hujawahi Kuniangusha kutokana na IQ yako Kubwa na Ninakukubali kwa hilo.Umri wake ushagota, ni muda muafaka sasa wa huyu bwana akachia hiyo nafasi huko JWTZ kuna watu wengi tu ambao wameiva zaidi ya huyu Mabeyo
Ila ni muda sasa wa mama kuendelea kulipa fadhila maana bila yeye sidhani kama angekuwa hapo alipo.
na akifa je tutafanyaje?maana yeye ni binadamu,aliondoka nyerere na mambo yanaenda,acha apumzike uongozi wa jeshi ni kazi ngumu na ya lawama,ukimaliza kwa amani ni kumshukuru Mungu.Mkiruhusu astaafu mtapigwa na M23 na Rwanda kama Kuku. Watanzania andamaneni CDF Mabeyo asistaafu sasa kwani nawaonea Huruma.