Rais Samia usikubali CDF General Mabeyo astaafu kwani bado anahitajika na sijaona wa kumrithi kwa sasa

Acha hizo wewe watanzania wapo wengi wenye ujuzi kumzidi hata mabeye sema mitanzani elimu yenu ina mashaka Sana.

Hata jpm mlimsifia Sana Tena mpaka bungeni sisi wenye akiri tukawa tibaona tunaongozwa na boys, mshamba na asiyekuwa na sifa ya uongozi hata chembe. Ajaja Samia kumproove wrong kwamba nchi haipaswi kuongozwa vile.

Magufuli angeendelea tayari angekuwa ameshatengeneza ugaidi ndani ya nchi. Samia kaleta harmonization na tunaona nchi ipo shwari kabisa.

Mlifikia hatua ya kusema jpm aongezewe mda wa urais na yeye alivybogus akalishilia Hilo Tena kwa kujigamba kwamba hakuna Kama yeye. Sisi wenye tukawa tunamchora tu.

Ndugu Kuna watu wengi wenye akiri na mbunu nyingi sema ufinyu wako wa akiri unahisi na mabeyo tu Kama nilivyokuwa mnasema na kutaka katiba ibadilishwe jpm aongoze milele na yeye mwenyewe alikuwa hajijui Kama ni bogus kiasi gani
Yaani kwa Uandishi huu unajiona una akili sana mzee.....sasa mi nakwambia ukweli, we jamaa ni empty sana humo kichwani. Kuandika tu kunakupa shida, sasa utaweza kweli kuwaza vitu vya kiakili?
 
Mkiruhusu astaafu mtapigwa na M23 na Rwanda kama Kuku. Watanzania andamaneni CDF Mabeyo asistaafu sasa kwani nawaonea Huruma.
Toka lini rwanda inaweza kupiga mabeberu kwani ujui tz kwa sasa tupo mikononi mwa mabeberu
 
Acha hizo wewe watanzania wapo wengi wenye ujuzi kumzidi hata mabeye sema mitanzani elimu yenu ina mashaka Sana.

Hata jpm mlimsifia Sana Tena mpaka bungeni sisi wenye akiri tukawa tibaona tunaongozwa na boys, mshamba na asiyekuwa na sifa ya uongozi hata chembe. Ajaja Samia kumproove wrong kwamba nchi haipaswi kuongozwa vile.

Magufuli angeendelea tayari angekuwa ameshatengeneza ugaidi ndani ya nchi. Samia kaleta harmonization na tunaona nchi ipo shwari kabisa.

Mlifikia hatua ya kusema jpm aongezewe mda wa urais na yeye alivybogus akalishilia Hilo Tena kwa kujigamba kwamba hakuna Kama yeye. Sisi wenye tukawa tunamchora tu.

Ndugu Kuna watu wengi wenye akiri na mbunu nyingi sema ufinyu wako wa akiri unahisi na mabeyo tu Kama nilivyokuwa mnasema na kutaka katiba ibadilishwe jpm aongoze milele na yeye mwenyewe alikuwa hajijui Kama ni bogus kiasi gani
Sasa wewe mtumwa wa waarabu una akili gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hiki ni kituko cha mwaka
 
Hizi ni akili za Magufuli.
Akili za kijima.
Hakuna mtu special, hata wewe mtoa post ukifa au ukiikimbia nafasi yako kazini, katika familia au popote pale atapatikana mwingine na atafanya vizuri kuliko wewe
Leo hii tungekuwa tunatawaliwa na Magufuli ambaye alidanganywa kuwa hakuna mbadala wake mambo mengi mazuri tusingeyaona.
 
E
Kwa heshima na taadhima nakuomba Rais wetu Mama Samia hebu muongezee muda Jenerali Mabeyo.

Utumishi wake umetukuka na wa kiwango cha juu na uaminifu wake ulionekana wakati wa kifo cha hayati Rais Magufuli alisimamia mabadiliko ya urais kwa mujibu wa Katiba

Tunakuomba rais mpe miaka 5 Jenerali Mabeyo.

View attachment 2252345

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Ri alisimamia mabadiliko ya Urais kwa mujibu wa katiba! Hivi ujinga wabongo mtaacha lini?
 
Najua huwa Unanisoma mno hapa JamiiForums kama ilivyo kwa 75% ya Watendaji wako wa Idara Muhimu ya Makao Makuu Oysterbay jirani na Kanisa la Mtakatifu Petro.

Mama (Rais) Samia asikudanganye Mtu kwa sasa bado hakuna right Candidate wa Kumrithi CDF General Mabeyo kutokana na tunayoyasikia (chini chini) huko na jinsi huyu Mabeyo (CDF) alivyoweza Kuliheshimisha Jeshi kuliko lilivyokuwa huko nyuma ambako kuna baadhi ya Maadili ndani ya Wahusika yalianza Kumomonyoka.

Ombi langu Kwako Mpendwa Rais wangu (Mama) mkatalie kwa sasa CDF Mabeyo Kustaafu ila muongezee hadi utakapoapishwa tena Novemba 2025 ili aanze Kukuandalia Mbadala wake ambaye angalau kwa 95% atakuwa anafanana nae kwa Utendaji wa Kutukuka.

Najua kuna Majina unayo tayari Mezani Kwako na lipo la Mmoja kutoka Zanzibar ambaye alikuwa huku Bara muda mrefu ila kwa Kauli za Wenzao amba Sisi Watu wa Kawaida sana Tanzania hii akina GENTAMYCINE huwa tunazisikia kutokana na kuwa na Masikio Makubwa wanasema hawawezi na wana 'makandokando' mengi.

Najua huwezi Kuniangusha Mama.

Cc: adriz
Imeandika ushuzi kabisa 2025 una uhakika atashinda uchaguzi? Au mihemko tu! Oga ulale acha kujimwambafai.
 
Mkiruhusu astaafu mtapigwa na M23 na Rwanda kama Kuku. Watanzania andamaneni CDF Mabeyo asistaafu sasa kwani nawaonea Huruma.
Kuna Mkuu wa Mkoa fulani nadhani amekuwa akiandaliwa kwa kazi hii ila sijui protoko zimekaaje.
 
Hivi huu ujinga unatoka wapi kwa kasi hivi?

Nyie ndio mnamjua Mabeyo zaidi ya Mh. Rais aliyekubali kustaafu kwake?

Unatumia mahaba yako na kifo cha Magu na ukanda wa ziwa ku justify hata hili? Hebu acheni wenge nyinyi
Jamaa huyo ndio mana wanamuitaga popoma, anajiona ana hadhi fulani kubwa hadi asikilizwe na Mkuu wa nchi kwenye swala nyeti la ki usalama
 
Najua huwa Unanisoma mno hapa JamiiForums kama ilivyo kwa 75% ya Watendaji wako wa Idara Muhimu ya Makao Makuu Oysterbay jirani na Kanisa la Mtakatifu Petro.

Mama (Rais) Samia asikudanganye Mtu kwa sasa bado hakuna right Candidate wa Kumrithi CDF General Mabeyo kutokana na tunayoyasikia (chini chini) huko na jinsi huyu Mabeyo (CDF) alivyoweza Kuliheshimisha Jeshi kuliko lilivyokuwa huko nyuma ambako kuna baadhi ya Maadili ndani ya Wahusika yalianza Kumomonyoka.

Ombi langu Kwako Mpendwa Rais wangu (Mama) mkatalie kwa sasa CDF Mabeyo Kustaafu ila muongezee hadi utakapoapishwa tena Novemba 2025 ili aanze Kukuandalia Mbadala wake ambaye angalau kwa 95% atakuwa anafanana nae kwa Utendaji wa Kutukuka.

Najua kuna Majina unayo tayari Mezani Kwako na lipo la Mmoja kutoka Zanzibar ambaye alikuwa huku Bara muda mrefu ila kwa Kauli za Wenzao amba Sisi Watu wa Kawaida sana Tanzania hii akina GENTAMYCINE huwa tunazisikia kutokana na kuwa na Masikio Makubwa wanasema hawawezi na wana 'makandokando' mengi.

Najua huwezi Kuniangusha Mama.

Cc: adriz
Mthhhhenge wewe,

We si kutwa unamtukana Samia humu,leo unataka heti amuache huyo kisa msukuma mwenzenu na mkristo,

Mmmbwa wewe
 
Back
Top Bottom