Rais Samia usikubali CDF General Mabeyo astaafu kwani bado anahitajika na sijaona wa kumrithi kwa sasa

Rais Samia usikubali CDF General Mabeyo astaafu kwani bado anahitajika na sijaona wa kumrithi kwa sasa

M23 wawe tishio kwa Tanzania
Unaota wewe

Punguza ulevi
Mkikubali tu CDF General Mabeyo ( tunayemuogopa sana sisi Warutsi ) astaafu Mwezi huu June basi M23 watakuja Kuichukua Tanzania yote.

Shauri zenu.....!!!!!
 
Acha hizo wewe watanzania wapo wengi wenye ujuzi kumzidi hata mabeye sema mitanzani elimu yenu ina mashaka Sana.

Hata jpm mlimsifia Sana Tena mpaka bungeni sisi wenye akiri tukawa tibaona tunaongozwa na boys, mshamba na asiyekuwa na sifa ya uongozi hata chembe. Ajaja Samia kumproove wrong kwamba nchi haipaswi kuongozwa vile.

Magufuli angeendelea tayari angekuwa ameshatengeneza ugaidi ndani ya nchi. Samia kaleta harmonization na tunaona nchi ipo shwari kabisa.

Mlifikia hatua ya kusema jpm aongezewe mda wa urais na yeye alivybogus akalishilia Hilo Tena kwa kujigamba kwamba hakuna Kama yeye. Sisi wenye tukawa tunamchora tu.

Ndugu Kuna watu wengi wenye akiri na mbunu nyingi sema ufinyu wako wa akiri unahisi na mabeyo tu Kama nilivyokuwa mnasema na kutaka katiba ibadilishwe jpm aongoze milele na yeye mwenyewe alikuwa hajijui Kama ni bogus kiasi gani
We jamaa ni fala wa mwisho hovyo kabisa ms**e mmoja wewe
 
Kwa heshima na taadhima nakuomba Rais wetu Mama Samia hebu muongezee muda Jenerali Mabeyo.

Utumishi wake umetukuka na wa kiwango cha juu na uaminifu wake ulionekana wakati wa kifo cha hayati Rais Magufuli alisimamia mabadiliko ya urais kwa mujibu wa Katiba

Tunakuomba rais mpe miaka 5 Jenerali Mabeyo.

1654520573298.jpg
 
Najua huwa Unanisoma mno hapa JamiiForums kama ilivyo kwa 75% ya Watendaji wako wa Idara Muhimu ya Makao Makuu Oysterbay jirani na Kanisa la Mtakatifu Petro.

Mama (Rais) Samia asikudanganye Mtu kwa sasa bado hakuna right Candidate wa Kumrithi CDF General Mabeyo kutokana na tunayoyasikia (chini chini) huko na jinsi huyu Mabeyo (CDF) alivyoweza Kuliheshimisha Jeshi kuliko lilivyokuwa huko nyuma ambako kuna baadhi ya Maadili ndani ya Wahusika yalianza Kumomonyoka.

Ombi langu Kwako Mpendwa Rais wangu (Mama) mkatalie kwa sasa CDF Mabeyo Kustaafu ila muongezee hadi utakapoapishwa tena Novemba 2025 ili aanze Kukuandalia Mbadala wake ambaye angalau kwa 95% atakuwa anafanana nae kwa Utendaji wa Kutukuka.

Najua kuna Majina unayo tayari Mezani Kwako na lipo la Mmoja kutoka Zanzibar ambaye alikuwa huku Bara muda mrefu ila kwa Kauli za Wenzao amba Sisi Watu wa Kawaida sana Tanzania hii akina GENTAMYCINE huwa tunazisikia kutokana na kuwa na Masikio Makubwa wanasema hawawezi na wana 'makandokando' mengi.

Najua huwezi Kuniangusha Mama.

Cc: adriz
sikujuwi bali nahisi wewe ni msomi wa kiwango fulani,lakini sikuungi mkono ktk hili sheria inasemaje kwenye umri wa kustaafu?Ikiwa kila mtu aliyefanya vema asistaafu hapa tutatengeza chuki.
 
Baadae mnalalamika vija hampewi nafasi... Tuna waseeng wweengi saana hii Nchi aisee
 
Kwa Heshima na Taadhima nakuomba RAIS Wetu Mama SAMIA hebu MUONGEZEE MUDA Jenerali MABEYO.
Utumishi wake UMETUKUKA na Wa KIWANGO cha JUU na UAMINIFU wake ulionekana Wakati wa KIFO cha HAYATI RAIS MAGUFULI alisimamia MABADILIKO ya URAIS kwa MUJIBU wa KATIBA
Tunakuomba RAIS Mpe MIAKA 5 Jenerali MABEYOView attachment 2252345

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Sukuma gang
 
Kwa Heshima na Taadhima nakuomba RAIS Wetu Mama SAMIA hebu MUONGEZEE MUDA Jenerali MABEYO.
Utumishi wake UMETUKUKA na Wa KIWANGO cha JUU na UAMINIFU wake ulionekana Wakati wa KIFO cha HAYATI RAIS MAGUFULI alisimamia MABADILIKO ya URAIS kwa MUJIBU wa KATIBA
Tunakuomba RAIS Mpe MIAKA 5 Jenerali MABEYOView attachment 2252345

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Hapana sikuungi mkono kwenye hili wapo watanzania wengi waaminifu wanaweza kushika nafasi hii General apumzike ameifanyia nchi makubwa
 
Back
Top Bottom