Rais Samia usikubali CDF General Mabeyo astaafu kwani bado anahitajika na sijaona wa kumrithi kwa sasa

Chawa
 
Nimekuelewa sana, ndio maana Bashiru na wahuni wenzake walipotaka kufanya mapinduzi baridi ni Mabeyo ndio aliwaonya na mama akaapishwa mara moja.

Kumbe JK ni kama ghost fulani hivi aisee.

Kwahiyo yule mshamba wa Chato akaona anateuwa msukuma mwenzake kumbe ni inner circle ya JK.

Shikamoo mkwele.
 
Mama atakuwa amekusoma na kama hajakusoma basi atafikishiwa ujumbe na wapambe wake.

Mabeyo anayo hofu ya Mungu, ndio maana anajitahidi kwa uwezo wake kutenda mema kwa ajili ya maisha ya baadae baada ya kifo.
Chawa wa Ngosha
 
Fanyeni Makosa yote ila mkimweka CDF Mwanamke asubuhi tu Tanzania inakuwa Mali ya Rwanda na 'Mwamba' Kagame.
inaonesha kiasi gani hujui mambo ya system endelea kulima matikiti mkuu
 
We POPOMA subiri CDF toka pemba
 
Akistaafu huyo tu M23 wanaichukua Tanzania. Msikubali CDF General Mabeyo astaafu. Andamaneni Watanzania wote shauri zenu.
Kabla ya yeye kuwa CDF hao M23 walichukua nchi ipi? Hoja zako hazina msingi

Amefanya kazi nzuri na naamini jeshini kuna succesion plan kupata wenye weledi wa kukamata usukani.
 
Wasalimie Ukraine huko poti
 
Mama atakuwa amekusoma na kama hajakusoma basi atafikishiwa ujumbe na wapambe wake.

Mabeyo anayo hofu ya Mungu, ndio maana anajitahidi kwa uwezo wake kutenda mema kwa ajili ya maisha ya baadae baada ya kifo.
hapo kwenye hofu ya Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…